muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,898 Reaction score 14,864 Mar 31, 2014 #41 Daa poleni wafiwa wote.....
FORESEER Senior Member Joined Aug 1, 2013 Posts 111 Reaction score 15 Mar 31, 2014 #43 Poleni sana wafiwa kwa hiki kipindi kigumu mlicho nacho cha kupotelewa na wapendwa wenu nasi tunaungana nanyi kwenye hayo majonzi mliyo nayo!!!
Poleni sana wafiwa kwa hiki kipindi kigumu mlicho nacho cha kupotelewa na wapendwa wenu nasi tunaungana nanyi kwenye hayo majonzi mliyo nayo!!!
N Njengwa boy Member Joined Jan 2, 2014 Posts 7 Reaction score 1 Mar 31, 2014 #44 R I P marehem wote pamoja na kaka yangu shafii Ally chinumba akiwemo katika mait hzo MIGHT Allah bless their souls
R I P marehem wote pamoja na kaka yangu shafii Ally chinumba akiwemo katika mait hzo MIGHT Allah bless their souls
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,987 Reaction score 3,541 Mar 31, 2014 #45 Njengwa boy said: R I P marehem wote pamoja na kaka yangu shafii Ally chinumba akiwemo katika mait hzo MIGHT Allah bless their souls Click to expand... Mkuu pole sana kwa kumpoteza Kaka kwenye ajari, yeye mbele Sisi nyuma, wote Ndio safari yetu hiyo hiyo!
Njengwa boy said: R I P marehem wote pamoja na kaka yangu shafii Ally chinumba akiwemo katika mait hzo MIGHT Allah bless their souls Click to expand... Mkuu pole sana kwa kumpoteza Kaka kwenye ajari, yeye mbele Sisi nyuma, wote Ndio safari yetu hiyo hiyo!
C Chasaka Member Joined Jun 23, 2011 Posts 67 Reaction score 14 Apr 1, 2014 #46 Ushauri wa bure umetolewa,vizuri na asante kwa udhauri ndg Marxlups!!!""!