kurudia mapenzi wa zamani nisawa ira kuna mambo mawili 1 kama ana kupenda ww naww unampenda ludiana nae ila kama hakupendi achana nae pia tumia njia ya vishawishi yani jipendekeze kwake uwe mutumwa wa mapenzi kwani alishankusoma tabia zako naww ulisha musoma kwa hivyo hapo inabidi mmoja awe...
Habiri wana jamii
Je ni ipi njia nzuri ya kukufanya stoko dukani na njia rahisi maana kuna njia moja ninayo tumia ya kutumia daftari kilicho toka na kilicho ingia na kubaki imenishinda mimi kama mfanyakazi.
kitu cha musingi nilicho gundua kunaunafiki mukubwa selikalini naona hata kiongozi mkuuu flani amekua kmya haongeikabisa mpaka watu wanafikia kusema kwamba hakufanya kit chochote vijana wengi walikua kwenye wimbi la matumizi ya ponbe na madawa ya kurevya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.