Recent content by njedengwa

  1. N

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    arusha ni kiini cha mabadiliko, watamtoa lema lakini sio chadema, na uchaguzi ukiitishwa chadema tutaweka 'jiwe' wao waweke mtu na tutasinda! Nguvu ya uma ndo mahakama ya wanyonge!
  2. N

    Wazanzibar waanza kumbana dk ndalichako wa necta: Gazeti la mwanahalisi

    Baraza wachakachue matokeo kwa ajili gani? unless siasa ziwe zimeingia huko nako. Ila leo (15/2/2012) nilipata imani kidogo na baraza baada ya kumwona ndalichako akifafanua huo mchakato huko zenji. asilimia kubwa sio kuwa mitihani ilivuja ila wameibiana na miandiko ya kutatanisha. TAFAKARI
  3. N

    Mishahara serikalini kulipwa dirishani

    HIvi ukiwa na serikali inyoogopa baadhi ya watu, solution ni kuwamaliza tu wanyonge. Jairo yuko wapi? Luhanjo wanasubiri hadi muda wake uishen ajiondokee mwenyewe! Leo wanatarget waalimu ambao mishahara yao ya miaka mitatu ni posho za mbunge za mwezi mmoja! watapata nini jamani?
  4. N

    Ufisadi Bila Majibu: Rais Kikwete na Lowassa sasa jiuzuluni ndani ya siku 90 kupisha uchunguzi huru

    ccm na viongozi wake wote wameshajua kuwa mwisho wao umefika, hasa wabunge. waone!
  5. N

    Dr Slaa Kutoonekana kwenye mazungumzo ya CDM na Rais Je ni kuepuka utabiri wa Marehemu Sheikh Yahya

    acheni imani za kishirikina basi, japo upo, lkn c popote. yaani kikwete awaroge timu yotei le iliyoenda kwake!
Back
Top Bottom