Recent content by njanoj17

  1. njanoj17

    Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Nashukuru kwa bahati nzuri majina ya leo na la kwangu lipo na namba nimepewa, tunaomba kama kuna dondoo jamani mtusaidie
  2. njanoj17

    Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Nimekupata mkuu Asante
  3. njanoj17

    Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Mimi nitafanya kama nikivyopewa ushauri wa hapo juu na wadau
  4. njanoj17

    Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Asante sana kwa ushauri
  5. njanoj17

    Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Asante kwa ushauri ila muda umekimbia maana siku iliyobaki ni kesho (Ijumaa) tu, kwa kua jumamosi ndio Interview yenyewe
  6. njanoj17

    Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Asante mkuu kwa ushauri wako maana niko nje ya Dar es Salaam, sasa ndio nilikua nawaza nisije kufika huko mambo yakawa tofauti
  7. njanoj17

    Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Hahahaaaaaaaaa, sawa mkuu
  8. njanoj17

    Utumishi wanamaanisha nini hapa?

    Habarini wanajamvi, Napenda kwa anayejua anipe maelekezo kidogo kuhusu Kuitwa kwenye Interview na Utumishi, Kuna Tangazo walilitoa tarehe 9/12/2017 lenye Kumb.NaEA.7/96/01/J/69 kuitwa kwenye Usahili, hapo Niliiona jina langu na jana Tarehe 13/12/2017 kupitia tangazo lao lenye...
  9. njanoj17

    Kuitwa Interview Utumishi Wa Umma.

    Nami nimepata kitu hapo cha kujiongeza endapo umeitwa kwenye Interview mbili tofauti, Ninaombi jamani kwa anaejua Written interview ya Afisa Mtendaji Kata II na Afisa Tarafa, ni vitu gani vya kuzingatia hasa.? Msaada kwenye tuta
  10. njanoj17

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Nimependa hilo somo, kwa Mimi niliye Kilimanjaro nawezaje kupata hayo mahitaji? Msaada kwa anayefahamu kunakopatikana
  11. njanoj17

    Anatafuta kazi, uzoefu Sales and Marketing

    Habari wanajamvi, Kuna jamaa yangu anaelimu ya Utawala ila anauzoefu wa zaidi ya mwaka mmoja kwenye Mauzo na Masoko, kwa sasa yuko tu nyumbani mkataba uliisha, hana uzoefu wowote kwenye Utawala.... naombeni ushauri awe anatuma maombi katika nyanja ipi???, naomba msaada juu ya hilo...
  12. njanoj17

    Qatar Airways interview venue

    Executive Secretary mkuu
  13. njanoj17

    Qatar Airways interview venue

    Asante saana kwa hilo FEMUR, nimeshafika hadi hapo kwa maelezo yenu wanajamvi
  14. njanoj17

    Qatar Airways interview venue

    Asante saaana MZURIMIE kwa kunipa maelekezo, nadhani kwa kufuata hayo sintoshindwa kufika kwa muda muafaka....nitatokea KIMARA na kuelekea huko, lakini hadi hapo kwa hiyo anwani nahisi inatosha mkuu...ubarikiwe saana na Mungu
Back
Top Bottom