Kuitwa Interview Utumishi Wa Umma.

Monosex

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
892
1,618
Leo siku ya kusherehekea siku ya kumbukumbu ya kupata uhuru,Utumishi wa umma wametoa majina ya kuitwa Interview.

Lakini kuna baadhi ya kada walizoita kwenye siku,written,mahali,ukumbi vyote wameonyesha HAKUNA. Je ni kwamba hawa watu watahudhuria oral interview kwa wajuzi wa Haya mambo naomba msaada.
 
Attachments

  • utumishi.pdf
    4 MB · Views: 1,057

Kuna Post nyingine wanapiga tu oral mkuu kutokana na uchache wao utakuta mtu yuko mmoja watano ko tulia taratibu pitia docs yako utaelewa vizuri maisha hayo mkuu tuliza akili.
 
Afisa ushirika II na Youth Development officer II hakuna.

Jamaa wameshaanza kuzidiwa na kazi au figisu zinataka kufanyika.
 
Afisa ushirika II na Youth Development officer II hakuna.

Jamaa wameshaanza kuzidiwa na kazi au figisu zinataka kufanyika.
Embu naomba unieleweshe mkuu...

Hizi post zilizoandikiwa HAKUNA katika mchujo ina maana gani?

Je psrs iko sehemu gani?

Je kama nimeomba post mbili nikachaguliwa zote alafu zote zimepangwa muda mmoja hapo panakuaje?
 
Iko hivi ukiona mchujo HAKUNA angalia ORAL lini na wapi sanasana ORAL hufanyika ofisi za Utumishi Maktaba pale ujiandae kwa hilo,Pia kuhusu kuitwa post mbili hapo inawezekana ukapiga zote au upige moja utachagua wewe binafsi hautokatazwa mi nilishawahi kupiga tatu kwa siku moja usitishike na huo muda wa hiyo draft ya kwenye Tangazo ukifika siku hiyo pepa la saa 3 asububi mnaweza kuta mnafanya saa 5 asubuhi hivo basi muhimu jiandae vema na kila la kheri mkuu.
 
Embu naomba unieleweshe mkuu...

Hizi post zilizoandikiwa HAKUNA katika mchujo ina maana gani?

Je psrs iko sehemu gani?

Je kama nimeomba post mbili nikachaguliwa zote alafu zote zimepangwa muda mmoja hapo panakuaje?

Naona Mediocrist amekujibu vizuri PSRS ipo maktaba ya taifa, sehemu zilizoandikwa hakuna maana yake mnaenda usaili wa mahojiano moja kwa moja bila usaili wa mchujo.

Kama umeitwa post mbili kwa wakati mmoja kama ni oral interview ukiwa mjanja unafanya zote ila kama ni usaili wa mchujo inakuwa ngumu.
 
Nami nimepata kitu hapo cha kujiongeza endapo umeitwa kwenye Interview mbili tofauti,

Ninaombi jamani kwa anaejua Written interview ya Afisa Mtendaji Kata II na Afisa Tarafa, ni vitu gani vya kuzingatia hasa.? Msaada kwenye tuta
 
Back
Top Bottom