Recent content by Njangula

  1. N

    JamiiForums Tanzania RFA: Kipindi chenu Kizuri Kuweni lakn Makini na Maneno Yenu Kwenye Kipindi cha "Je Huu ni Uungwana?"

    Kipindi kizuri bwana aah! Ni kero za kijamii lazima zisikike. After all sometime ni maoni ya wasikilizaji yanayotumwa!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ahutubia Taifa - Mwisho wa Mwezi Februari

    Hata yeye eti anashangaa udini ilhali yeye mwenyewe ni propeller wa hayo mambo, shame on him.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

    Itakuwa kidogo heshima kwake.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Na zile shule za taasisi nadhani zitaprosper maana wanafunzi wengi watahitaji kurisiti.
  5. N

    JamiiForums Tanzania introduction

    Karibu Ngongombwe!
  6. N

    JamiiForums Tanzania BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

    Baadaye ataita na mercenaries kuja kudhibiti upinzani, yetu macho. Nchi ya fully unnecessary breaking news. Hivi kweli chanzo cha haya madudu hakijulikani?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hili la mchujo kidato cha kwanza limekaaje.?

    Ndugu wanajamvi JF, wizara ya elimu imetoa maagizo ufanywe mtihani kuwatahini waanafunzi wa kidato chaa kwanza 2013 ili watakaofeli wachujwe. Pia tumeambiwa kuwa mitihani na marking schemes italetwa mashuleni. Pia mitihani ifanywe Jumatatu 11 na kusahihishwa mashuleni. Cha kushangaza tunatumiwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Kazi ipo! Elimu inahitaji marekebisho.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Kwani lipi gumu kwa serikali kukaa mezani? Inataka mpaka iwe discredited internationally?
  10. N

    JamiiForums Tanzania LUDEWA KUINGIA KIZANI KWA MUDA USIOJULIKANA: Tangazo kutoka tanesco

    Umeme Madunda na Lugarawa utaendelea kuwapo tu , halafu pia vijiji vya Ludewa 85% haviujui umeme hivyo impact yake itawahusu wachache. Hofu yangu yanayotokea southern corridor yanaweza kutokea Ludewa sio kwa kukosa umeme bali rasilimali zinazohama bila kuwasaidia wananchi. Mtikila uko wapi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mwaka 2015 rais wa Tanzania ni lazima atoke CHADEMA

    Ni kweli ulichshauri ni muhimu kwa kila chama kinachotarajia kushika dola kwani kutakuwa msuko2 mkubwa sana. Hivyo CDM should prepare potential men from grass root.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mwaka 2015 rais wa Tanzania ni lazima atoke CHADEMA

    Ni kweli ulichshauri ni muhimu kwa kila chama kinachotarajia kushika kwani kutakuwa msuko2 mkubwa sana. Hivyo CDM should prepare potential men from grass root.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, haya ndio matunda ya 'Divide and Rule'!

    Let us spark out national referendum first within jamii forum then making a tour countrywide preaching national integrity and stability instead of relying to that president.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Na hiyo TBC Haitangazi kabisa habari hizo. . Hiyo serikali itafakari upya jinsi keki ya taifa inavyogawanywa.
Back
Top Bottom