Recent content by njalau

  1. njalau

    Wanahistoria tuonesheni masoko mengine ya watumwa

    Bila shaka humu jamvini kuna wabobevu wa historia na km hivyo ndivyo binafsi napata mkanganyiko sana hasa tunapozungumzia biashara ya watumwa yaani naona biashara hii inahusiana sana na afrika mashariki na kwa uchache magaribi, vpi kuhusu kusini na kaskazini? Halafu hadi leo sijasikia masoko...
  2. njalau

    Mahakama ya ICC yaagiza Afrika Kusini imkamate na kumkabidhi Bashir

    Waafrika wakifanya hivyo ntaamini ntaendelea kuamini maneno ya Dk. Watson kwamba "anawasiwasi na akili ya mtu mweusi"
  3. njalau

    Wazanzibar wahofu ukimya wa Dr. Shein kuhusu Urais wa SMZ, wamtaka achukue fomu

    Kwa hali ya sias zanz hasa kipindi hiki ambacho seif ameapa ni bora huyo shekhe aachie maana atakuwa makamo wa kwanza waraisi(seif)
  4. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    We historia ya dunia umesoma au? We dunia unadhani ni ipi kwani hujui kwamba rumi aliselenda kwa islamic state hadi vita ya mslaba ilpopiganwa karne ya 12, lakini km unaizungumzia hispania we hujui kwamba hiyo ni miongoni mwa dola za zamani?au we unatumia historia gani?au unasoma historia...
  5. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Rudi katika historia uone kuanzai kipindi cha karne ya saba hadi karne ya 12 dunia ilikuwa ikiongozwa na nani kwa maana ya dini gani ilitawala?
  6. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Watanganyika kuendelea kufanya hoja za waziri mdini(lukuvi ) kwamba ndio sababu ya mavamizi ni kuendelea kufanya propaganda km msingi wa hoja ya mavamizi ya mwaka 1964,kitu ambacho si haki kabisa katika zama hizi za ukweli
  7. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Kwani we hujui kwamba uislam imetawala dunia zaidi ya miaka mia tano? Lakini pia sehemu zote zenye mapigano huwa zinasababishwa na amerika na we kushabikia ni kosa koz waamerika sio wakrosto na hawafanyi hayo kwa maslahi ya wakristo bali maslahi yao na ndio maana wanaurafiki na...
  8. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Kwani komoro kuna wakristo?
  9. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Ili uthibitishe kwamba nimefika na kuishi znz unataka ushahidi gani?
  10. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Watakufa kwa sababu gani?! maelezo ya kushiba tafadhali
  11. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Nini maana ya ugaidi? Sasa hivi vp sio kituo cha magaidi?
  12. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Ongezea mkuu watanganyika na waznz wajifunze
  13. njalau

    Kwanini "clip" ya Nyerere kumkataa Lowasaa haijawahi tolewa hadharani?

    Kwa hawa wajinga tulionao hata ingekuwepo clip bado isingesaidia km kashfa ya lichmond haitoshi basi hata hyo ingekuwa nothing ishu hapa ni ukawa kujipanga kupambana nao lakini na ukawa nao wana muunga mkono maana sijasikia ndani ya miaka mitano hii slaa au ukawa wakimhusisha lowassa na ufisadi...
  14. njalau

    Kweli Zanzibar bila kutawaliwa na Tanganyika ingekuwa mbali

    Ukitizama masuala hya kwa jicho la tatu na hasa aina ya rasilimali watu ambayo zanzibar inayo utagundua kwamba wangetuacha mbali saana!! mf:wakati mwanasheria mkuu wa znz anafukuzwa kazi kwa msimamo wake wakizalendo,mwanasheria bara anafukuzwa kwa wizi, Wakati nasoro moyo anafukizwa chamani...
  15. njalau

    Kwanini "clip" ya Nyerere kumkataa Lowasaa haijawahi tolewa hadharani?

    Sa we kwa uchafu wa lowassa unahiyaji clip hacha hui anaojua mwalimu we hujui chochote kuhusu lowassa na ufisadi? Acha ubwege mtoa post
Back
Top Bottom