Kwanini "clip" ya Nyerere kumkataa Lowasaa haijawahi tolewa hadharani?

Kuwekwa hadharani kivipi.
Mtu yeyote anayetumia pesa nyingi kusaka madaraka hafai ni wa kuogopwa kama ukoma Mwl.Nyerere.hata Lowasa anajua ccm wakifuata miiko ya mwl Nyrere uraisi ataishia kuusikilizia kwenye radio

Kinachoombwa ni clip sio maneno ya taarabu kama wewe ulivyoanza kutaarabika hapa.Weka video clip kama huna endelea kukaa sindano ikuingie vizuri!

Safari ya matumaini!
 
Hiyo kauli ilitolewa ndani ya CC na NEC hivyo vikao havirekodiwi
ptuuuu....mtoa mada ametolea mfano wa picha ya makongoro! Jiulize then jijibu mwenyewe faragha ya makongoro huwa inarekodiwa? iweje vikao vya CC na NEC?
 
Binafsi simkubali Lowassa ila nachotaka tukate mzizi wa fitina.

Majuzi hata Nape aligusia kauli hii ya.Baba wa Taifa alipokuwa anahojiwa EATV ingawa hakumtaja Lowassa moja kwa moja.Ifike mahali tumuenzi Nyerere kwa vitendo na si kinafiki kama hivi tunavyofanya kama kweli ushahidi upo na kama ilikuwa ni siri ya kikao, basi habari hii ingeishia huko huko kwenye vikao vyao.

Ahsante sana kwa maneno yako kuntu! Kila mtu anatumia jina la Nyerere kupigania maslahi yake binafsi badala ya kulienzi jina kama icon ya Taifa!

Huu uzi hawatajaribu kuja kutia pua zao hapa maana hili swala limetumika kipropaganda sana na propaganda siku zote hauna ushahidi!
 
Jibu muafaka kabisa!

Faragha ya makongoro ilirekoduiwaje? Kama hili lilitokea kwenye vikao vya CC na NEC basi lingeishia huko huko hakukuwa na haja ya kutoka hadi nje ya vikao!

Hii ni propaganda chafu dhidi ya jina la Nyerere!
 
Na hii mkiweza muiunganishe kama mnaona ni sahihi.

Hapa naongelea "video" na si kunukuliwa katika maandishi.Hivi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti?

Tunaomba mwenye hiyo clip aiweke hadharani.

Kwenye Richmond tunaambiwa kuna mambo yalifichwa.Hii clip nayo inafichwa!Kama hali ndio hii,kwanini mtu huyu sasa asipete?Hivi sisi tukoje?!

Kama picha ya Makongoro iliwekwa hapa jana, kwanini hiyo clip isipewa nafasi kama ipo?

kilikuwa kikao cha siri! Hata yeye anajuwa! Kamwambie!
 
Sa we kwa uchafu wa lowassa unahiyaji clip hacha hui anaojua mwalimu we hujui chochote kuhusu lowassa na ufisadi? Acha ubwege mtoa post
Tatizo letu ni kutaka mabadiko bila kuwa na mikatati madhubuti.

Siku hiyo clip ikitoka ndio utajua thamani yake katika kufanikisha mageuzi.

Hivi hamuoni hao wajinga wanaojitokeza kwa wingi kumuunga mkono kwasababu tu wengine wanaamini kashifa za Lowassa ni fitina tu kisiasa?

Ningekuwa kiongozi wa UKAWA kupata hiyo clip ya mwalimu ingekuwa ni moja ya mikakati ya kufaninikisha mageuzi.

Mnapuuza hoja kama hii wakati nchi hii mambumbu wa habari za siasa na wanasiasa ni wengi!!
 
Kwa hawa wajinga tulionao hata ingekuwepo clip bado isingesaidia km kashfa ya lichmond haitoshi basi hata hyo ingekuwa nothing ishu hapa ni ukawa kujipanga kupambana nao lakini na ukawa nao wana muunga mkono maana sijasikia ndani ya miaka mitano hii slaa au ukawa wakimhusisha lowassa na ufisadi why? Au.ndo ukaskazini
 
Tatizo letu ni kutaka mabadiko bila kuwa na mikatati madhubuti.

Siku hiyo clip ikitoka ndio utajua thamani yake katika kufanikisha mageuzi.

Hivi hamuoni hao wajinga wanaojitokeza kwa wingi kumuunga mkono kwasababu tu wengine wanaamini kashifa za Lowassa ni fitina tu kisiasa?

Ningekuwa kiongozi wa UKAWA kupata hiyo clip ya mwalimu ingekuwa ni moja ya mikakati ya kufaninikisha mageuzi.

Mnapuuza hoja kama hii wakati nchi hii mambumbu wa habari za siasa na wanasiasa ni wengi!!

Mkuu mie nimeshakusoma uzuri mno kuna watu hapa watahisi ww ni kibaka wa lumumba buku 7 lakini dhumuni lako limeeleweka thabiti.
 
Tatizo letu ni kutaka mabadiko bila kuwa na mikatati madhubuti.

Siku hiyo clip ikitoka ndio utajua thamani yake katika kufanikisha mageuzi.

Hivi hamuoni hao wajinga wanaojitokeza kwa wingi kumuunga mkono kwasababu tu wengine wanaamini kashifa za Lowassa ni fitina tu kisiasa?

Ningekuwa kiongozi wa UKAWA kupata hiyo clip ya mwalimu ingekuwa ni moja ya mikakati ya kufaninikisha mageuzi.

Mnapuuza hoja kama hii wakati nchi hii mambumbu wa habari za siasa na wanasiasa ni wengi!!

Labda mkachongeshe hiyo 'clip'....
 
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
 
Mkapa akiwa mjengoni aliwataja vijana wawili machachali wa ccm waliolelewa wakaiva na wenye uwezo mkubwa kiuongozi..hakusita kuita Lowasa na Kikwete..na akasisitiza wanaowapuuza hawa ni wapumbavu....
 
Na hii mkiweza muiunganishe kama mnaona ni sahihi.

Hapa naongelea "video" na si kunukuliwa katika maandishi.Hivi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti?

Tunaomba mwenye hiyo clip aiweke hadharani.

Kwenye Richmond tunaambiwa kuna mambo yalifichwa.Hii clip nayo inafichwa!Kama hali ndio hii,kwanini mtu huyu sasa asipete?Hivi sisi tukoje?!

Kama picha ya Makongoro iliwekwa hapa jana, kwanini hiyo clip isipewa nafasi kama ipo?
Salary Slip ebu sahihisha maneno yako tunategemea una ufahamu mkubwa jana na kwa maelezo ya mjadala wa jana hakuna picha inayoitwa ya Makongoro yoyote...zaidi ya picha za kawaida tunazoweka humu..sasa kuendelea kuwa na ukuzaji wa mambo ambayo hayapo kwa mtu uliye andika thread jana kuomba Wanajami forums watoe mchango bora katika kutoa Raisi Boara kisha unakuwa mbele kuchangia kwa maneno mbofu mbofu sipati picha na sikuelewi eti..ebu futa neno hilo tafuta mifano mingine kwa kuwa hakuna kitu kama hicho na maana ya GT ni uwezo wa kubaini maovu na kuyakemea.Tendo a thread ya jana juu ya Makongoro na picha ni tendo la kiovu.
 
Hujanielewa,najua kabisa ile picha ilikuwa fake. Maana yangu hapa ni kuwa, kama ile picha fake ilitamba hapa jukwaani mpaka kufikia page karibu 16, iweje clip hiyo ambayo naamini itakuwa genuine kabisa iwe ngumu kuwekwa public?

Unajua kosa kubwa linalofanywa ni kutosema au kuweka hadharani ushahidi wa tuhuma za Lowassa pamoja na hiyo kauli ya Baba wa Taifa.Ni rahisi sana kummaliza Lowassa iwapo kuna watu wataamua kusema ukwelu hadharani hata kama mkuu wa kaya ataguswa,tofauti na hapo baadhi ya watanzania wataamini hizi ni fitina tu za kisiasa za kupakana matope.

Hiki ndio kipindi muhimu kila kitu kiwekwe wazi kuhusu huyu mtu kabla hatujachelewa.
 
Na hii mkiweza muiunganishe kama mnaona ni sahihi.

Hapa naongelea "video" na si kunukuliwa katika maandishi.Hivi ni vitu viwili tofauti na vina uzito tofauti?

Tunaomba mwenye hiyo clip aiweke hadharani.

Kwenye Richmond tunaambiwa kuna mambo yalifichwa.Hii clip nayo inafichwa!Kama hali ndio hii,kwanini mtu huyu sasa asipete?Hivi sisi tukoje?!

Kama picha ya Makongoro iliwekwa hapa jana, kwanini hiyo clip isipewa nafasi kama ipo?
Kwakuwa haipo ndiomaana haijatolewa.
 
Back
Top Bottom