Hii ni mbinu yao ya zamani sana, alipokuwa anazubaishwa na mwingine anataka huduma hapo hapo kwahiyo kuna mmoja lazima atakuwa alimuomba simu ampe ama kuna mmoja aliwahi kuja siku nyingine na kufanya hiyo mishe
Sehemu yeyote yenye dhiki ndiyo Kuna biashara maana mahitaji ni makubwa sana ya vitu ndiyo maana wanaposema wana maisha magumu ni kwamba dhiki husababisha vitu viwe ghali kwahiyo wenye pesa hupeleka vitu sehemu kama hizo kupata pesa.
Nafurahi kuwa kwa miaka mingi Yanga imekuwa ikitamani kuwa kama Simba na mnajitahidi sana hasa katika kupata wachezaji walioitumikia Simba. Ila kiukweli kwa sera yenu ya usajili sasa hivi mchezaji ambaye mtampata kutoka Simba ni yule aliyeandoka akaenda timu nyingine ndiyo mtamchukua ama ambaye...
Mabasi mengi siyo machakavu sana, mnaweza kuingia mkataba na Dar Coach Builders wakafanya refurbishment kwenye body ambazo haziko vizuri naimani mengi yatarudi kama mapya maana Dar Coach Iko vizuri sana kwenye hilo ama New Force Enterprises wako vizuri kwenye body repairs.
Ila kile alichopigania kimezingatiwa, " .......and where all girls, no matter the circumstances, have a pathway to complete their secondary education.”
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.