kuna kitu hakipo sawa ,, ila ushauri wangu kwako mkuu
JIELIMISHE KUHUSU SIASA,, SOMA SANA UCHUMI,, IJUE SHERIA YA KIMATAIFA ukishapata elimu kisha njoo uipitie hii post tena uisome,, utagundua ni wapi ulikwama.
kwasababu kwasasa hivi nikiangalia tu post naona kabisa kuna mambo hata ukiambiwa...