Urusi yaendeleza mashambulizi ya anga huko Ukraine

Urusi yaendeleza mashambulizi ya anga huko Ukraine

Mifumo ya Patriot haita simamisha mashambulizi Ya Urusi kule Ukraine....itaendelea now .TUTAFUTE SULUHISHO LA KUACHA KUUWA WATU NA WATOTO WASIO na HATIA ni Dhambi kubwa sana na UJINGA hasa kwa WANAO PIGANA .

Tunamtaka mmarekani aache kuwa shetani wa kuchochea vita na kusababisha wenzake wapigane
.....katika dunia hii sio kila mtu anapenda kuwa mtumwa wa Marekani na UK

CHINA amekaataa
URUSI amekataa
NORTH korea amekataa
IRAN amekataa

Sasa mmarekani anaangalia awafanye nini?? Hawa ili awatawale,

China (tutamdhoofisha kwa kuchochea vita na Taiwan tumpe silaha TAIWAN ili apigane na china tumshushe nguvu) kwa propaganda ya democracy na haki za binadamu

URUSI (tumpe silaha Ukraine ili tumshushe nguvu urusi) kwa propaganda ya democracy na haki za binadamu

North korea (tumpe silaha south korea ili wapigane tumshushe nguvu NORTH KOREA) (same propaganda)

IRAN (tuanzishe maandamano ili TUPINDUE UONGOZI tupate uongozi wa kukubali kuwa CHINI ya MAREKANI na UK)Kwa propaganda ya HAKI ZA BINADAMU

AMBAYE ANAMSHABIKIA MAREKANI ANAASHIRIA KWAMBA ANAPENDWA UTAWALIWA WA MMAREKANI NA MUINGEREZA, PIA wanatengeneza vizazi vya MASHOGA na VIZAZI vya KUWASAWAZISHA WANAUME NA WANAWAKE wawe na nguvu saWa knowing that WOMEN are weak MEN must be weak like WOMEN by promoting HAKI SAWA HAKI ZA MASHOGA HAKI ZA BINADAMU (being against God) and there are a lot of them you will see them shouting at me

SASA wakaleta MEDIA ZAO CNN na BBC ili kuwashika masikio watu wa DUNIA kwa njia ya habari zenye propaganda sio mbaya huwa MNAONA WANASEMA LETA SOURCE ya HABARI YAKO knowing that they dominate the MEDIA (BBC & CNN), some of them will say that I'm the dictator..

WAKALETA MISEMO YAO , no research no right to speak TO BLIND YOU kuuona UOVU WAO, wanaofanya Kwakuwa hujathibitisha eti huna haki ya kuongea kwa kuwa mambo yao wanayafanya kwa Siri...utashindwa tu kudhibitisha...

si ajabu wakaleta na maneno CONSPIRACY THEORIES....



NOW WAR IS money LET USA keep on MAKING MONEY by the BLOOD of UKRAINIANS and RUSSIANS ....because they accepted to make USA very RICH ..


The DEVIL IS WORKING

Learn GOOD things FROM USA and Learn Good things from USA enemies , EVERONE IS WRONG SOMEWHERE WE ARE ALL HUMAN BEINGS we need to accept that both USA & Ukraine & RUSSIA mistakes made this war HAPPEN



LOST DREAM
You are very brave,, nice comment kama na hapa kuna mtu hajaelewa kinachosemwa wakati kila kitu kimewekwa bayana
 
Back
Top Bottom