Recent content by Nitajulikana

  1. N

    Baada ya Magufuli, TANESCO wanaanza kata kata ya umeme

    Nina siku nyingi kidogo nje ya JF,kumbe MATAGA mnatia huruma ivi!? Poleni Sana!!
  2. N

    Tanzania imefika kiwango cha North Korea

    Wewe ndo mpumbavu wa mwisho,kwani matusi yanaua?! Ni watu wangapi wanashindwa kufanya mambo yao kwa sababu ya mtandao mbovu ambao hata uchaguzi hauwahusu?! Ni watu wangapi wanashindwa kuingiza kipato kisa tu kuzuia kupata habari za uchaguzi?! Sijui huwa mnawaza kwa kutumia akili gani wakati hapo...
  3. N

    GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Acha ushamba ww!! Watu walikuwa wanaenda kuwasikilza wasanii Kisha wanaondoka ndio mzee kijana akaja na mbinu mpya za mikutano kufanyikia kwenye viwanja vilivyojengewa,na Wasanii wakubwa kupanda jukwaani muda mfupi kabla ya mzee baba kupanda au hata baada ya mzee baba kpanda!!! Usijitoe akili...
  4. N

    GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Ivi wewe ndiye Pascal Mayalla uliyemuuliza swali mzee baba mpaka akakuita #Njaa!? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85]
  5. N

    GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Unamsomba vizuri sana,niko Zangu Sengerema Nina siku sijaenda Mwanza uniambie Kuna ruti ya Mwanza bure,tena nafika nawaona karibia wasanii wote maarufu wa nchi hii niikatae ofa hii bab kubwa!? Wakat katika hali ya kawaida bila 20elf humuoni Diamond!!? Dhubutu!!!
  6. N

    GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Mbona thread yako haina uhalisia na muonekano wa Kampeni?! Hayo yote uliyosema mwisho kampeni zimesimamiwa na Diamond Harmonize Zuchu na Wasanii wengi.Pamoja na yote uliyosema mwaka huu ndo CCM imevunja rekodi ya kusomba watu kutoka mikoa jirani hadi kanda kwa ajili ya mkutano mmoja(zamani...
  7. N

    GE2020 Membe: Naufahamu uwezo wa Lissu, nitahakikisha anapata kazi kwenye serikali yangu

    Mission failed mzee.Nenda kapumzike kulko kuendelea kujidhalilisha!!!
  8. N

    CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Wamzuie na Lipumba Basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. N

    Tunaipenda CHADEMA, ila Vijana wenzangu kuna mambo mengine tujitafakari kidogo

    Mi nilifikiri ungewaambia vijana wa Arusha wafanye kila linalowezekana kupambana na upumbavu huu,kumbe bado uko kwenye propaganda!? Pole sana!!!
  10. N

    Mrema na Cheyo waomba CHADEMA ifutwe

    Kumjadili Mrema na Cheyo katika siasa za sasa za Tanzania na mambo mengi tuliyo nayo ni matumizi mabaya ya akili na muda!!!
  11. N

    GE2020 Sijapenda, CHADEMA rekebisheni haraka haya makosa

    Mbowe jitathmini na busara zako zilizopitiliza,CCM haihitaji busara kwa sasa,inahitaji ubabe,jino kwa jino nyayo kwa nyayo ili tuheshmiane maadam hatuvunji sheria.Shortly Lisu alikuwa sahihi!!!
Back
Top Bottom