Tunaipenda CHADEMA, ila Vijana wenzangu kuna mambo mengine tujitafakari kidogo

Mi nilifikiri ungewaambia vijana wa Arusha wafanye kila linalowezekana kupambana na upumbavu huu,kumbe bado uko kwenye propaganda!? Pole sana!!!
 
Umenishtukia wewe na nani? Hallafu nyie humu mabingwa wa kucomment, mara ooh tutakiwasha, mara ooh sasa basi na maneno mengi ya ujinga, halafu yakitokea hayo mnaacha wenzenu wanasota jela nyie kazi yenu inabaki kupost tu humu.

Nina hasira sana kuna dada tunafahamiana nae kakamatwa kwa huu ujinga wenu wa kujifanya mnaweza kweli kuwapigania
Ukitaka kumjua mwama ccm,huna haja ya kuumiza akili.we angalia wanao like uzi wake.
 
Wewe mpuuzi embu acha upotoshaji hapa kujifanya CHADEMA wakati hujui lolote zaidi ya kuleta fake news.

Hao waliokamatwa issue za Tallying center mboma walishatolewa wote tena ni baada ya Hilda Newton kumuona mtu anayefahamiana selo maana polisi waliwahamisha vituo kila siku ili wasipatikane. Ila sio kwamna walipotezewa usiongee uongo.

Then watu wakijitolea huwa sio sababu ya Lissu au Mbowe ila wao kudai haki yao iheshimiwe. Mbona lissu alipigwa risasi 16 ila hakuna mwanachama aliyewahi pigwa hivo? Kwani na yye akisema aache kupigania maslahi ya wananchi ila aende CCM sababu ya kuogopa akipata shida ni yye na familia yake tu angeshindwa?

Hivi kwani masikini hapaswi kupigania haki yake kisa hana hela? Nyerere wakati anapigania uhuru alikua na pesa? Mbona mnapenda kuropoka illogical arguments.

Umenikera sana, afu acha ku imposotor eti ni chadema wakati you know completely nothing about CHADEMA.
 
Umenishtukia wewe na nani? Hallafu nyie humu mabingwa wa kucomment, mara ooh tutakiwasha, mara ooh sasa basi na maneno mengi ya ujinga, halafu yakitokea hayo mnaacha wenzenu wanasota jela nyie kazi yenu inabaki kupost tu humu.

Nina hasira sana kuna dada tunafahamiana nae kakamatwa kwa huu ujinga wenu wa kujifanya mnaweza kweli kuwapigania
Jiue ndugu MATAGA pori

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hiki ndio nakimaanisha, sisi kazi yetu ibaki kupiga tu kura. Kila mgombea apambane na polisi kivyake.

Roho inaniuma sana, kuna dada kakamatwa alafu wanaohangaika ni ndugu zake, lema yeye kazi yake ni kupost tu huko twitter na Instagram.
Nyerere na Mandela walipofungwa huku familia zao pekee zikihangaika wangefuata huu ushauri ingekuwaje?
Kwenye kutafuta mabadiliko kuna kujitolea kuwa liwalo na liwe sababu unapigania unachokiamini. Hta UDSM kuna watu walitimuliwa ndio maslahi yakapandishwa hata leo hii kumetulia.

Let's be objective and maybe kushauri chama kiweke wanasheria stand by kufuatilia kila kesi ila sio eti kuwaambiwa wasijitokeze. That's cowardice kid
 
Nimeisoma post yako katikati ya mistari nimegundua kumbe watu walipelekwa nyuma ya nondo kwa kukataa dhulma! Basi wana haki yako ipo siku italipwa na ni uthibitisho tosha CCM wanaiba kura daima!
 
Kwamba watu waliokamatwa kwenye kituo cha kujumlisha matokeo cha CHADEMA 2015 wako ndani hadi leo ni uongo , ninao ushahidi kwamba wote waliachiwa baada ya DPP kufuta kesi hiyo kutokana na kubanwa na wakili wa watuhumiwa Mh Tundu Lissu , nadhani uzi wako umelenga vitisho kwa Watetea haki , hata hivyo haitakusaidia chochote
 
Umenishtukia wewe na nani? Hallafu nyie humu mabingwa wa kucomment, mara ooh tutakiwasha, mara ooh sasa basi na maneno mengi ya ujinga, halafu yakitokea hayo mnaacha wenzenu wanasota jela nyie kazi yenu inabaki kupost tu humu.

Nina hasira sana kuna dada tunafahamiana nae kakamatwa kwa huu ujinga wenu wa kujifanya mnaweza kweli kuwapigania
Chadema kila mtu ana Sharubu...
Haji Duni (mgombea mwenza UKAWA 2015)
 
Huu ndio ujinga, kwani hao nao watabaki?
Alafu unasema tusitishike na mapito huku ukiwa umejificha kwenye ID fake, unaogopa nini kama sio hayo mapito??
Huyo hamjui hata mtu mmoja anayefanya kazi hio anapambana mitandaoni tu
 
[SUB]maelezo yako tu yameonyesha umefurahia walichotendewa hao watu alafu unasema inaipenda CHADEMA .hata kulaani hiko kitendo umeshindwa ila unawalaumu waliotendewa ubaya na kuwaambia wanajuta. Mazezeta wa ccm mna kazi sana[/SUB]
 
Empty head za Lumumba zinachekesha kweli , like father like son , like chairman like mataga , precaution acheni wizi wa kura kutapatapa hakusaidii kitu .
 
Kaongelea vijana wa vyama vyote wawe makini
Vyama vyote vipi mnafikia huyo mwanaCCM tunamjua!

Sina muda na jitu nafiki linarudi kinyumenyume kuongea upumbavu waibe kura...

I respect mtu alie true na straight na beliefs zake,sio huu unafiki alionesha hapa
 
Back
Top Bottom