Recent content by Nitafika Mbinguni

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ni App ipi ya mkopo ambayo hutoa mkopo kwa uharaka?

    Naombeni msaada kuhusu ni App ipi ambayo hutoa mkopo kwa uharaka
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nchi gani itanifaa kusoma journalism kati ya hizi?

    Naombeni ushauri, je ni nchi gani itanifaa kwenda kusoma journalism kati ya North Korea, South Korea, Holland, Canada, France, New Zealand? I want where it is possible to study while working during off class time?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Tsh. 400,000/- naweza fanya biashara gani?

    Nina mtaji wa sh laki nne je naweza fanya biashara gani kama ujasiriamali?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Asante sana mwamba nakubali sana%
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Okey nahitaji sana kufahamu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Shukrani sana kwa kila mmoja.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Shukrani
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Kwa anaye fahamu jinsi ya kuuandaa ubuyu wa mbegu na kuuchanganyia rangi na viungo vyake vyote muhimu ili uwe mtamu kama ule wa Zanzibar ni nini unafanya jamani?
  9. N

    JamiiForums Tanzania biashara ya ubuyu wa zanzibar #ujasiliamali aliye tayari aniunge

    Kwani huwaga wanatumia viuongo gani kuuandaa
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wapi lipo soko la unga wa ubuyu kwa ndani au nje ya Tanzania?

    Jamani naombeni kuuliza, je ni wapi naweza pata soko zuri la unga wa ubuyu kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la ukwaju,

    Unakuwa tayali usha menywa ama
Back
Top Bottom