Recent content by Nisamehe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru: Sina uhakika ni nani mwingine alisimamiwa ubatizo wake na Mwalimu Nyerere zaidi ya Freeman Mbowe

    Yohana Mbatizaji heshima yako mkuu. Leo Roho Mtakatifu amekukufunulia maneno ya hekima na ya kufikirisha sana. Mungu was Mbinguni azidi kuingarisha nyota za Mwamba kwa namna ambayo wengi wetu hatujui dhamira yake ya kumpitisha katika tanuru hili.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa hadi - Nov 10, 2021

    Mbona unaharisha sana mkuu? Ni vyema ukamuona Dr usije zidiwa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

    Very true.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

    Tafuta wenzio wa kuwalisha huu upupu wako, elewa kuwa kadiri siku zinavyosonga ndivyo wenye akili za kujiuliza maswali na fikra chanya wanaongezeka. Unahaha sn mkuu. Mungu tunayemuamini ni Mungu was haki.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe siyo gaidi kwenye mawe, kuta na majengo inatufundisha nini?

    Tafakari kabla ya kuandika upupu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mkuu wa Wilaya ningetatua tatizo la ajira kwa watu wote wanaoishi wilayani kwangu

    Kuwa na mawazo kama hayo ni vyema na siyo dhambi mkuu, lakini umejaribu kujiuliza kwanza Tanzania yako unayoishi mawazo haya yanawezekana? Siyo rahisi kwa mfumo wetu na katiba yetu iliyopo. Fight for your own kwanza, achana na ndoto za ukuu wa Wilaya.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Aisee! Watanzania wengine akili mmezifungia wapi? Very sad.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Naelewa mkuu. Nashindwa kuelewa kwa nini msomi huyo ana move around the circle na kufanya ulimi usiwe rafiki kutamka the current pandemic desease inayotumaliza aka corona. Anataka wananchi waanze tena kuulizia maswali? Kuna tatizo si bure.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Prof ktk ubora wake, ila mjanja sana. Nimesoma maelezo sijaona mahali alipofunguka na kutaja ugonjwa wa Corona ( covid 19),au ndiyo kauwasilisha kama Homa ya mapafu? Hahahaaa!
  10. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

    Mkuu umeona Kishumundu ni kiji cha ujamaa. Ungejikita tu kwenye hoja ya mleta mada na kua ha ushabiki maandazi.
  11. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

    Malaika WA Mbinguni na watakatifu wote Mbinguni wamlaki na kuufurahia utukufu wa Mungu Mbinguni. RIP mzee wetu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

    Ndiyo ujue ni namna gani elimu inahitajika. Hahahaaa!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

    Ndiyo uukubali ule msemo wa JK kuwa 'Za kuambiwa changanya na zako'. Tatizo watz ni wabishi kwa jambo wasilolifahamu vizuri, tuna tabia ya kukuripuka halafu tukingatwa tu naanza kulalamika. Mitano tena tafadhali ili somo lieleweke vizuri.
Back
Top Bottom