Recent content by NIPOSINGO

  1. NIPOSINGO

    JamiiForums Tanzania Dramatizing serious narratives: Journalism itazamwe upya kwa Wasafi Media na EFM

    Matukio ya siku za hivi karibuni yamenitafakarisha maana na dhamira ya kuwa mwanahabari Kuanzia saga ya Wasafi Media vs Lissu, controversy ya TCRA vs Waziri Nnauye, na dhihaka kadhaa za EFM Uanahabari sio guarantee ya kukosa heshima au ku-act unprofessional in the pretext of professionalism...
  2. NIPOSINGO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka maneno haya wakati wa tendo la ndoa

    Ujumbe huu huwahusu zaidi wanawake ili kiwajengea stara kwa wenza wao na kiwapa moyo ili kutowatoa mchezoni, hasa kimawazo, wakati wa tendo. Ewe mwanamke, epuka kauli hizi. Badala yake, tafuta lugha nzuri, laini ya kuwasilisha ujumbe huohuo. 1. Haufanyi vizuri kama… 2. Mimi sipendi hivyo...
  3. NIPOSINGO

    JamiiForums Tanzania Social Media Admin wa PSSSF afuate maadili mtandaoni kutunza heshima ya taasisi

    Huyu jamaa huwa ana-like sana personal contents, nyingi za entertainment kwa official account ya PSSSF. Nimkumbushe, hii ni taasisi ya serikali, aitengenezee mazingira ya kuheshimika. Inawezekana anatumia simu (device) binafsi ku-run shughuli zake kama content admin, sawa, lakini ajichunge...
  4. NIPOSINGO

    JamiiForums Tanzania Majina ya kitanzania yanayosound kimamlaka na nguvu

    Jenerali Ulimwengu
  5. NIPOSINGO

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anajishushia heshima mitandaoni

    Tangu akiwa Msemaji wa Serikali, amekuwa cheap sana huyu jamaa. Hivi sasa wizara aliyoko haina afisa habari au waziri? Naona ana-dominate yeye tu mitandaoni Kwa nafasi yake ya Katibu Mkuu alipaswa awe mtendaji/mtaalamu/mwanataaluma zaidi wa wizara yake sio kutafuta cheap popularity kila...
  6. NIPOSINGO

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

    Like serious, mtu asiyefahamu kabisa kuogelea akatafute ujuzi huo katika open waters/beaches badala ya organised spaces like swimming pools? Kama si shida za kujitakia ni nini?
  7. NIPOSINGO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndo nimemaliza C-section ya 6, nimechoka akili na mwili. Halafu kuna Wanasiasa kwa mwezi wanakula 11 M na bado wanajiongezea mshahara 40%

    Ndugu Carlos The Jackal acha kujitukuza na kujiona bora kimajukumu kuliko wengine, maisha ni kutegemeana. Imagine, askari mpiganaji aliyekoswa risasi akihakikish usalama wa raia wengine waliolala aje hapa na tambo za kudai fedha zaidi akijilinganisha na idadi ya risasi zilizomkosa au majeraha...
  8. NIPOSINGO

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  9. NIPOSINGO

    JamiiForums Tanzania Kwamba hii ndio maana halisi ya state sovereignty?

    Katika picha hii, nimependa namna ambavyo kila nchi imeheshimu uhuru wa kujitawala wa mwenzake bila kuathiri mahusiano yao ya kidiplomasia
Back
Top Bottom