NIPOSINGO Member Joined Jul 24, 2022 Posts 11 Reaction score 39 Sep 13, 2022 #1 Katika picha hii, nimependa namna ambavyo kila nchi imeheshimu uhuru wa kujitawala wa mwenzake bila kuathiri mahusiano yao ya kidiplomasia
Katika picha hii, nimependa namna ambavyo kila nchi imeheshimu uhuru wa kujitawala wa mwenzake bila kuathiri mahusiano yao ya kidiplomasia
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,595 Reaction score 47,044 Sep 13, 2022 #2 Tanzania ndio imetangazwa siku Tano za maombolezo, na kuagiza bendera zipeper nusu mlingoti nchini na kwenye Balozi zake duniani kote. Sasa endapo China wao Wana namna nyingine kwanini waingiliwe?
Tanzania ndio imetangazwa siku Tano za maombolezo, na kuagiza bendera zipeper nusu mlingoti nchini na kwenye Balozi zake duniani kote. Sasa endapo China wao Wana namna nyingine kwanini waingiliwe?
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,599 Reaction score 14,067 Sep 13, 2022 #3 Waafrika tu ndo bado Wana fikra za kuwaona wazungu Kama miungu wachina huo ujinga hawana. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Waafrika tu ndo bado Wana fikra za kuwaona wazungu Kama miungu wachina huo ujinga hawana. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,752 Reaction score 71,647 Sep 13, 2022 #4 ....