Recent content by nipohapa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    mbatia ametangaza kuwa lowasa rasmi ukawa kweli baniani alisema hogo tamu shinda kate.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    jamani leo huyuhuyu kawa msafi!alialika viongozi wa dini matapeli kote nchini wazee uchwara kibao lkn ccm wakasema hutufai piga chini tunataka watu safi . we unataka madaraka kwa namna yoyote ale. nanyie chadema kwa uroho wenu mmeingia mtegoni .
  3. N

    JamiiForums Tanzania Taharuki Dar es Salaam: Abiria wajeruhiwa kwa kisu, mhusika auawa na wananchi

    polisi wangewezaje kupata taarifa ya haraka hivo?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    nikweli kabisa, polisi wasiendelee kutuaminisha kuwa ni majambazi sidhani kabisa.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    fiksi hizo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    acha maneno mabovu labda kwenu ndio kuna hao ng'ombe!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDOM mwaka watatu ajinyonga akiwa zahanati ya chuo

    kila mtu ni mgonjwa wa akili hapa duniani.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amnyonga mtoto wake na kisha kujinyonga

    aiseee inauma sana, nilithamini maisha yako, na bodaboda nilijua kosa langu, nikaamua kukusomesha ili tusaidiane maisha , inakuwaje leo uniulize ni ni sh.ngapi umetumia? kama sio matusi ni nn?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    wanafunzi na padre walikuwa wanatokea shambani na sion kwamba walikuwa wanaenda.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    nikweli maketekista wanawake wapo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbinga-Ruvuma: Gari lapata ajali na kuua Padre mmoja na Makatekista sita

    Nakumbuka gari yao ilikuwa ni landcruiser pick up.nyeupe.
Back
Top Bottom