Recent content by Niomi kaka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kuanzia Rais Hadi madiwani wanapaswa kwanza kushukuru wananchi Kwa kuwalipa mishahara posho, magari, nyumba pensheni na Bado kuna wizi

    nimeona Leo kwenye taarifa ya habari mkoa fulani wana nchii wana ishukuru serikali na viongozi wao bibi tt kwa kuwaletea gari la wagonjwa baada ya muda mrefu kupita, nikacheka baada ya pimbi mmoja kujimaliza kwa kusema eti ,,,,tuliomba gari ndogo lakini kwa mapenzi ya raisi mtukufu katuletea...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kuanzia Rais Hadi madiwani wanapaswa kwanza kushukuru wananchi Kwa kuwalipa mishahara posho, magari, nyumba pensheni na Bado kuna wizi

    Ndo wafanya biashara wa kwanza kudharau wateja wao kazi nikufuga vitambi mashavu bila kusahau matiti makubwa, kifupi serikali ya bongo siielewagi bora utawala wa kifalme
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi: Rais Samia kuitwa Daktari wa Tanzania tunajifurahisha tu, ila hana sifa za kuwa DAKTARI Kitaaluma

    nyoote mnao mtetea bibi tt a.k.a mashavu ni WANGESE
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi: Rais Samia kuitwa Daktari wa Tanzania tunajifurahisha tu, ila hana sifa za kuwa DAKTARI Kitaaluma

    hii ina nishangaza mno kila raisi ni Dr
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana bajeti na hajali, anataka tukipata pesa tutumie hadi ziishe

    Mkuu nikama umeniona yaani sijui nifanyaje nikama nime kwama kuoa vilaza ni shida
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi: Rais Samia kuitwa Daktari wa Tanzania tunajifurahisha tu, ila hana sifa za kuwa DAKTARI Kitaaluma

    Hili swali nilikua nakosa waku muuliza kwa muda mrefu nimekua nikiona maraisi wote wa bongo majina yao yana tangulizwa na Dr,,,,! sasa nikawa najiuliza inamaana wote wame usomea huo udaktari?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wengi hatuna muda wa kujikagua kimwili na kiroho

    asante sana vipi kuhusu matunda nipendelee kula yapi?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wengi hatuna muda wa kujikagua kimwili na kiroho

    nifanye nini kuondoa sumu mwilini?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

    sio poa aisee nimesha wataarifu na wazazi ya kwamba nikifanikiwa kuchomoka hapa sioi tena
  10. N

    JamiiForums Tanzania Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

    mwaka jana nilikua kama wewe mkuu lakini mpaka muda huu ninajuta hapa nilipo napanga mbinu ili kuutafuta huo upweke
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno “MAMA” kwa makabila mengi hapa nchini ni "NYOKO"

    siyo nchini tu ni Africa nzima nilisikia lugha moja ya zambia mama wana mwita noko, bha noko bhaisa,,, yaani mamako amekuja
  12. N

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

    kifupi wewe ni hovies
  13. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilicho na uhakika nacho by 100%, ni kuwa wengi wanajua kuna nini 9.12

    nimeshangaa hata ndugu zetu wakina dudukwe wanaujua huu mchongo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Warangi Mnawaonea. Ukikataliwa na Mkenya Kaoge maji ya baharini🤣🤣

    ahahahaa wazambia wanagawa sio poa sema niwachafu kukuta kimba kwenye mtaro ukimuweka popo kanyea mbingu nikitu cha kawaida japokua sio wote, na ninacho wapendea wanaenda kila style unayotaka hasa kwa sisi wabongo maana wamezowea magovi
Back
Top Bottom