Recent content by Ninachoma Dollar

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    41. Ushabiki / unazi kupitiliza e.g simba uyanga, ccm chadema n.k 42. Epuka wizi/shortcuts za maisha 43. Toa sadaka kwa wingi kulingana na Imani yako. 44..... Endeleeni wajuvi!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

    1 kor 1 : 18 Rudi kundini ndugu hujachelewa, Tatizo Bado hujakutana na Yesu umekutana na wachungaji, Masheikh na wengine wanaofanana na hao ambavyo kwa vyovyote vile nao Bado ni wanadamu. Mtafute Yesu sio dini / Mali n.k, siku ukimpata Yesu kwako binafsi ndio utanielewa Nini nnamaanisha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha?

    Mkabidhi BWANA YESU Maisha/Moyo wako hutojuta nakuhaidi katika hili, over!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

    Pole sana mkuu , Anzisha tuition, amasisha vijana ulinzi shirikishi n.k .. huko dunia ya kwanza ni kawaida mtu kuwa na ajira plus side hustle ata tatu kama kipato hakitoshi,huku kwetu sijui katuroga nani!!! Pambana hakuna kukata tamaa Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Wachawi wenyewe kwa msisi ndio hao wamejaa kwenye uzi .... UJUAJI TU!!! Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Vijana kuna mengi ya kujifunza kwa LeMutuz

    Na mwenye masikio asikie ... Hekma tupu Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Alooo... Weka mbali na watoto [emoji91] Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Mmmh hii arosto yake, acha kabisa!! Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Ya Mungu mengi ila Dunia ina mengi pia

    Aisee hii ilishanikuta katika level tofauti, Nikaacha fursa kibao zinipite nikiingojea ahadi ya Bwana yule bila kujua natumika. Kifupi iliniathiri sana katika maeneo mengi, Ni jambo ambalo mpaka leo nilijiona bado wa kuja mjini kivipi kwa Elimu yangu, Makamo yangu na uwezo wangu wa kupembua...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Oya kaka jambazi... Awali ya yote pole na majukumu, Ushatuzoesha kutwa mara mbili, fanya urudi hii arosto yake kila dk nachungulia humu!! Kongole [emoji106] we ni Mtu na nusu sio kwa misuko suko hiyo, barikiwa kwa kuchangamsha kijiwe!!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kukombolewa Kutoka Kwenye Nguvu za Giza - Sehemu ya 1

    Barikiwa sana mtumishi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa maoni yenye lengo la kukomesha Panya Road nchini

    Ifunge taa za barabarani na camera itasaidia sana kupunguza ualifu , lakini pia baadhi ya Sheria zikazwe kidogo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

    Wale jamaa wa forex sisi wengine wanatuonaga kama mbususu vile [emoji23] wako mbele ya muda Bila wasahau hawa forever living and Co Wengine wanatuonaga hatuko serious na maisha au fursa zinatupita. Diaspora,wanasheria, bank teller, iphone user.... wadau wametaja huko juu
  14. N

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uzi wangu bora kwa muda wote, na wewe tupia wako

    Uzi wa yule jamaa wa kukimbia Rwanda kipindi cha Genocide alikuwa mfanyakazi ubalozi wa Tz miaka hiyo 1994. Ulinifikirisha sana kwa matukio Yale. Yeyote anaeukumbuka anaweza u-quote kwa faida ya wasomaji wengine. Ila kwa ujumla nyuzi ni nyingi sana nzuri na pongezi ziende kwa waandishi wote.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Mkuu endelea kumwaga nondo, tuoneshe njia tukazurule huko ulimwenguni, tumewashtukia hao wanataka waende wao kila siku... Au ndio imeishia hapo?
Back
Top Bottom