Allen Snr nadhani unatakiwa ujue kila mahali duniani bila ya kujali rangi,kuna watu wabaya na watu wazuri,iko hivyo!!kwa hiyo kuamini kwamba sisi weusi tu ndio tuko na tabia mbaya utakua unakosea.Hivi unawajua Wataliano vizuri?mimi nimeshuhudia amekamatwa kwa kuiba taulo la Hotelini...sasa hao...
Pole sana...lakini ulitakiwa wakati uleule uonyeshe ujasiri usimame uende kwenye uongozi wao ili upate maelezo ya kina!!Hapo utakua umesaidia na wengine kwa siku za usoni.Hap walinzi wanatakiwa wapewe semina elekezi kutokana na maeneo ya kazi yao.Kwanza wafundishwe na customer care.Nimekua...
Habari!Naomba kwa anayejua codes za ku unlock samsung T139 yenye IMEI number 355166/05/761656/7
Asanteni na nina imani wataalamu humu ndani watanisaidia
Kweli Kaka hii staili yao ni ya kuadanganya watoto wa "sunday school"Hivi hata hawashtuki kwamba watu wameshaashtukia na hii staili yao?Unawezaje kumpigia debe adui yako,wakati anakupa wakati mgumu?Si walitakiwa kufurahia badala ya kuumia?Katika pitapita yangu mtaani nimekuta watu wakiulizana...
We ndugu yangu Ishengom utakua unaumwa njaa na sio maendeleo....ina maana we uko wa ajli ya Zitto na sio Chama.Kwa hiyo akifa leo na we unakufa kimtazamo kabisa!!!Lazima utambue Chadema kama Taasisi inaongozwa kwa misingi iliyojiwekea,katiba,kanuni na taratibu zote...sio hivyo unavyolazimisha...
Hivi Hammy-D ni kwamba unajivua utu wako kwa kulazimisha hoja ambazo hata mwanao(kama unao) wa miaka 9 hawezi kuzungumzia hayo unayoongea,rejea kwenye mada!Hebu wakati mwingine usifanye ukitaka kulazimisha kupendwa na hao bwa...na zako!!Shame on your tongue!
Duh kweli we ni STROKE Hilo swala sio la mtu mmojamoja ni la Tanzania,na kwa sababu limekua na utata wa kutoeleweka na linakua kama vile wanalifunika wananchi wasijue..wanatakiwa (Serikali) kulitolea taarifa rasmi kupitia vyombo vyake kama Bunge n.k.Sasa we unapokuja na mambo ya Brela,yanamfaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.