Recent content by Nimo the legend

  1. Nimo the legend

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Duuuu ya kweli haya au ndo.kupakaziana
  2. Nimo the legend

    Leticia Nyerere: CHADEMA si baba yangu, Katiba ni maisha yangu

    Mtamtukana ila alicho kifanya ni uamuzi wake na ni wakishujaa. Inaonyesha uzalendo alio nao kwa kutokuogopa kufutwa uwanachama na baadae kukosa ubunge wake. Big up Leticia Nyerere
  3. Nimo the legend

    Nimekutana na Mh.Mbowe live na tukashikana mikono. Daah siamini!

    Teh teh teh teh teh hongera aisee teh teh teh tej
  4. Nimo the legend

    Kanusho la Lowassa kuhusiana na kikundi kinachojiita MELOWLI

    We katibu wake unamjua! Naona unakazania kusema ilo kanusho si la kweli, hebu tupe basi taarifa kutoka kwa EL au katibu wake inayosema huo umoja na tamko ni la kweli. Unashabikia usivyo vijua
  5. Nimo the legend

    Albert Msando sio raia wa Tanzania?

    Siyo na serekali
  6. Nimo the legend

    Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

    Pole kwa kuchoshwa ila nikuulize kitu kimoja tu, Ivi ujachoka kusikia mnyika akilalamika kuhusu ukiukwaji wa demokrasia ndan ya bunge kila siku kila kikao atakacho zungumza?
  7. Nimo the legend

    Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

    Kwa maana iyo nyie wote kwa pamoja mnakubali demokrasia hamna CHADEMA!!! ivyo mnajitetea kuwa hata ccm kinaitwa chama cha mapinduzi ila hawajafanya mapinduzi ivyo ni sawa sawa nyie kutokua na demokrasia ndan ya chama chenu!!!!
  8. Nimo the legend

    Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

    mahakama haikuzuia kuket kwa baraza, ila ilizuia kuzungumziwa kuhusu kuvuliwa wanachama katika kamat mpaka zito asikilizwe kwenye baraz la taifa. PROVE ME WRONG kaka
  9. Nimo the legend

    Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

    Kuni attack hakutosaidia cha maana jibu post kwa hoja na vielelezo tuelewe.
  10. Nimo the legend

    Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

    Kwel kaka, tena huko jikoni wanawapa wenzio mnavu wao wanakula wali kuku
  11. Nimo the legend

    Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

    GET IT RIGHT KAKA, mahakama haikuzuia baraza kukaa.
  12. Nimo the legend

    Maana ya CHADEMA na ukiukwaji wa demokrasia

    Habar wanajamvi, Napata wakati mgumu kutafakari kirefu halisi (kilichokusudiwa wakat hii org inaanzashwa) cha CHADEMA. Wengi wetu tunaamini kuwa kirefu chake ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, ila tunaona wazi kuwa demokrasia inabakwa ndani ya chama ichi. Kuna mtu aliwahi kusema kuwa maana...
  13. Nimo the legend

    Huu ndiyo mkakati mzima wa CCM kuidhoofisha CHADEMA...

    Hebu rudia tena, andika vzuri nione ameumbuliwaje
  14. Nimo the legend

    Huu ndiyo mkakati mzima wa CCM kuidhoofisha CHADEMA...

    Words words words, hii ni kama riwaya mi naona maana hamna chochote kina nidhibitishia kati ya ulioandika si porojo tu. Unamalengo mazuri ya unachotaka.kusema lakini utuaminishi kuwa ni kweli
Back
Top Bottom