Asante, hii chaputa ife, na kuna chaputawa hii ni ya wanawake. Haya mambo yanafanyika kwa siri sana. Utamkuta mwanamke anakwambia kuwa sina hamu na mwanaume kumbe ni mwathirika wa kujichua. Kuna wanawake wengine hata akiwa na mwnaume wake wanafanya sex lakini anajisugua sana kwenye uke hadi...
Mkuu usinilishe maneno na naomba uwatake radhi uliowataja, mie sikumaanisha hao uliowaandika. Nilimaanisha watu wasiofahamika/ wasiojulikana na kila mtu anaenda kimya kimya. Umefanya kosa kutaka kuhusisha comment yangu na hawa ndugu. Omba radhi
Hii ni reply kwa baadhi ya wadau wa MMU huko mtaa wa PM. Naamini itajibu baadhi ya maswali pia
----------------------------------------------
Hiyo blog siikumbuki niliisoma muda mrefu halafu kuna mtu alikuja MMU akaweka kitu kama hicho ila nakumbuka tu maelekezo na jinsi ambavyo mimi nimefanya...
Nashukuru Mkuu, natumia hii ID kwa siku 5 mfululizo na nitakaporudi kwenye ID yangu ya miaka yote sitarudia tena. Nilitaka ujumbe ufike na umefika na nimejibu baadhi ya maswali na pia kujibu pm zote kwa waliohitaji kwa maswali binafsi .
Samahani mkuu, si unajua natuma ID mpya na nina majukumu mengine na nimejibu niliyoweza.
Kwanza blog yenyewe siikumbi maana ni muda mrefu nilisoma ila nikawa nimeelewa kidogo kichwani nikaanza. Kiufupi nilitaka tiba bila madawa.
Na majuzi hapa huo niliona mtu amepost humu MMU.
Iko hivi...
Kwanza blog yenyewe siikumbi maana ni muda mrefu nilisoma ila nikawa nimeelewa kidogo kichwani nikaanza. Kiufupi nilitaka tiba bila madawa.
Na majuzi hapa huo niliona mtu amepost humu MMU.
Iko hivi.
-Nilianza kutumia tangawizi karibia kwenye vyakula vingi. Tangawizi inasisimua misuli...
Asante, ila nakwambia kuwa punyeto inasababisha misuli kulegea. Kuna kipindi shahawa zilikuwa zinatoka zenyewe mkuu.
Nadhani utapotosha badala ya kusaidia watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.