Recent content by Nimechoka Sana

  1. N

    SI KWELI Mlima Ol Doinyo Lengai umeanza tena kulipuka

    Inadaiwa baada ya kupoa kwa muda mrefu, Volkano ya Mlima Ol Doinyo Lengai imeanza tena kulipuka. Suala hili linaweza kuwa hatari kwa afya ya umma hivyo wananchi wachukue tahadhari.
  2. N

    PostGE2025 Wakili Peter Madeleka amshtaki Rais Samia kwa kufuta sherehe za uhuru wa Tanganyika, Desemba 9

    Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma. Soma: Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu
  3. N

    PostGE2025 Mwigulu, fikiri kabla ya kuzungumza. Kusema kulikuwa na watu wasiozungumza kiswahili wakati wa maandamano ni kuivua nguo Serikali yako mwenyewe

    Sijajua kama Mwigulu anafikiria kabla ya kuzungumza. Jana Novemba 24, 2025 na leo pia wakati anazungumza na wahariri amesema kulikuwa na watu wamezamia maandamano ambapo walikuwa hawajui hata kiswahili. Wawe waliandamana au walibeba silaha kuua watu, huu ni udhaifu mkubwa sana kwa serikali hii...
  4. N

    PostGE2025 Mwigulu propaganda zako tumezikataa, watanzania wa leo si wajinga kama unavyofikiria

    Cheki hii orodha iliyotolewa na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya vitu vilivyochomwa moto wakati wa Maandamano ya Oktoba 29, 2025. 1. Ofisi za Serikali 756 2. Vituo vya mwendokasi 26 3. Vituo vya Polisi 159 4. Vituo vya mafuta 672 5. Magari Binafsi 1642 6. Pikipiki binafsi 2268 7...
  5. N

    KERO Jeuri ya Makondakta kuongeza nauli daladala za Segerea-Kawe imefikia kiwango cha juu kisicho vumilika. LATRA mmelala?

    Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela. Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na utaratibu wa kuongeza nauli kinyume na sheri, zikidai wastani wa Tsh. 1000-2000 kwa baadhi ya siku. Kwa...
  6. N

    Rais Samia, Sauti ya mwenye mamlaka inapobeba haki huponya taifa lote, ikibeba hofu huacha majeraha ya vizazi. Ninakusihi sana, rudisha upanga alani

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nakuletea ujumbe huu kama raia mpenda haki na mwenye imani kuwa Tanzania inaweza kuwa bora zaidi, salama zaidi na ya haki zaidi kwa wote. Rais wangu, ulionesha ujasiri mkubwa katika kipindi kifupi ulichoshika hatamu za uongozi ulifungua milango ya majadiliano...
  7. N

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mwambegele kuzungumza na vyombo vya Habari, leo Mei 12, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, Mei 12, 2025 atazungumza na Vyombo vya Habari. Ngoja tusikie atasema nini. Je, ni kuhusu CHADEMA kujitoa, Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, mgawanyo wa majimbo au nao wameikubali no reforms no...
  8. N

    Bodi ya ligi haitanii, yatoa ratiba ya derby ya Kariakoo. Sasa kupigwa Juni 15, 2025

    Bodi ha Ligi imetoa ratiba za viporo vilivyobaki, huku ikifanyia pia marekebisho ya tarehe kwa baadhi ya michezo. Jambo kubwa zaidi ni kuwa derby ya Kariakoo bado ipo palepale, itapigwa Juni 15, 2025, saa 11:00 Jioni uwanja wa Benjamin Mkapa. Hii inajiri masaa machache baada ya Klabu ya Yanga...
  9. N

    PreGE2025 Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025

    Bunge la Ulaya linatarajia kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini ambayo yanaweza kupelekea hukumu ya kifo, baada ya kukamatwa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba...
  10. N

    Busabala Road contractor faulted for using concrete barriers that killed Rajiv Ruparelia on May 3rd

    Police have confirmed the death of businessman Rajiv Ruparelia following a car crash at the Busabala Flyover traffic lights in Makindye-Ssabagabo, Wakiso District. Traffic police spokesperson, SP Michael Kananura, said Saturday, May 3, 2025, that a Nissan GTR motor vehicle with registration...
  11. N

    Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

    Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imeshindwa kwenye kesi yake ya awali iliyoifungua kwenye Mahakama ya Usuluhishi Michezoni (CAS). Yanga SC katika kesi ya msingi ikiyoifungua dhidi ya TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC imeomba kupewa alama 3 na mabao 3, lakini ikaiomba CAS pia izuie tarehe ya 'DABİ'...
  12. N

    Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa amesema Padri Charles Kitima ameshambuliwa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kujeruhiwa kidevuni. Hata hivyo, amesema taarifa zinazoeleza kabla ya kushambuliwa alikuwa akipata kinywaji ni upotoshaji, badala yake...
  13. N

    SI KWELI PreGE2025 Jeshi la Magereza lasema Lissu hajapotea, bado linamshikilia kwenye gereza la Keko

    Jeshi la Magereza lasema limemhamisha Lissu kutoka Keko kwenda Ukonga
  14. N

    SPECIAL THREAD-Baraza la Famasi Tanzania: Maoni, Mirejesho, Ushauri au Malalamiko yanayohusu huduma zetu

    Mwaka jana niliibuka mshindi wa 10 kwenye shindano la Stories of Change hapa JamiiForums nikajishindia laki 5. Mnaweza kupitia andiko langu na kama mtaona inafaa mnaweza kuchukua ushauri wangu. Andiko: SoC04 - Tanzania yenye kiwango kidogo cha Usugu wa Vimelea vya Magonjwa Dhidi ya Dawa...
Back
Top Bottom