Recent content by nilindeye

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    Kwenye haya maisha ukibahatika kupata mwanamke na akakupenda haswa haswa ni wakumkumbatia sana Usiforce akupende madhara ya kusema IPO siku atageuka ili umuoe halafu sijue akupendee utaumia sana:confused:
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamekuwa cheap sana siku hizi, kulikoni?

    Maisha magumu,pesa hazipatikani,hata papuchi;);););)
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo kinachotoa mafunzo ya utunzaji maiti

    Natafuta Chuo chochote kinachotoa mafunzo ya utunzaji maiti(mortuary attendant) kwa Tanzania Msaada tafadhali.... Nawasilisha.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Hii Iko sawa Mke kunisalimia shikamoo?

    Kusalimiwa raha ....yan SHIKAMOO SWEETIE....pole na kazi...daah
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

    Niliwakibidhi waniamlie hata ya ndani daah moto unaotukutia moyoni sitakaa nisahau
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

    Smart911 nimekuelewa mkuu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

    Tatizo naogopa jinsi ya kumuanza ani Ingawa sina uhakika kama Ana MTU mwingine
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

    Asante kwa ushauri wakuu Na niasameheni wanawake wote duniani
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nihukumu mimi: Nimemuacha mpenzi wangu kisa ni msomi, sasa najuta

    Ni kijana 29 na kuendelea. Ni muajiriwa serikalini lakini pia nimejiajiri. Naomba nilete mkasa wangu wa yaliyonikuta ambayo mpka sasa naumia na nashindwa wapi nianzie. NILIPITIA HABARI HUMU KUHUSU KUTOOA WANAWAKE WASOMI, bila kufikira sana niliamua kumuacha mchumba wangu ambae yuko mwaka wa...
Back
Top Bottom