Recent content by Nile_house_designs

  1. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    Karibuni sana wadau
  2. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

    Naunga mkono hoja, asilimia kubwa wako kwenye mahusiano kwa kuwa yule ni best option available, ikitokea akapata wa zaidi imeisha hiyo.
  3. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    Design of foundation. Karibuni sana wadau.
  4. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania Wanawake ni kiboko aisee

    Hawa watu sio poa.
  5. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    3. Vifaa na Ununuzi Nunua kwa awamu: Nunua vifaa vinavyohitajika kwa hatua husika kuzuia wizi au uharibifu (mfano: saruji kushika unyevu). Tafuta ubora: Usinunue vifaa vya bei rahisi sana vyenye kiwango duni; vitakugharimu kufanya matengenezo baadaye. Dhibiti stoo: Weka msimamizi mwaminifu wa...
  6. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    Hapa kuna dondoo muhimu za kuzingatia katika ujenzi wa nyumba: 1. Maandalizi na Ununuzi wa Kiwanja Miliki hatimiliki: Hakikisha kiwanja kina nyaraka halali za kisheria kuzuia migogoro ya ardhi. Chunguza eneo: Epuka maeneo ya mabondeni yanayoruhusu mafuriko au ardhi oevu inayoongeza gharama za...
  7. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    Karibuni sana wadau.
  8. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    Wana jamiiforum, karibuni tuwahudumie, msikubali kujengewa nyumba zisizo na viwango kwa gharama kubwa. karibuni kwa design, ujenzi na usimamizi wa ujenzi wa viwango.
  9. Nile_house_designs

    JamiiForums Tanzania UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    On site progress, karibu nile house designs ujipatie designs nzuri zinazokizi mahitaji yako. call/whatsapp 0715477041.
Back
Top Bottom