Recent content by Nikupateje

  1. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Hatimaye Commissionerwa Elimu ametuma taarua ya kuzionya secondary zilizoingia mkenge tena akatishia kuzifutia registration iwapo zitaendelea kufundisha mkenge ziliouingia.
  2. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Ni kweli. Hutakiwi kukldanganywa na watendaji wa halmashauri ya Kibaha.
  3. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Someni mabadiliko waliyofafanua sana wizara.
  4. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Ni sekondari zitakazopewa ufundisha masomo ya ufundi yaani vocational.
  5. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Amali ni vocational. Wizara imerudiarudia kueleza hii issue hadi imechoka.
  6. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Usishangae mkuu, Nilipotia mada nilikuwa sahihi kwamba sekondari kadhaa zisizo za amali zimeshaingia mkenge. Huyo jamaa unayemshangaa ni mmojawapo waliouvaa mkenge. Kibaha wameingia mkenge huo sekondari nyingi tu na hakuna wa kuwaamsha.
  7. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Ndugu wadau, Wote tunajua kwamba mtaala mpya umeanza mwaka huu 2024 kama ilivyoelezwa mara nyingi na wakuu wa wizara ya Elimu na hadi Waziri mwenyewe. Kadiri ya maelezo ni kwamba shule za sekondari zitakazoanza na mtaala mpya hasa kwa form one ni zile chache tu zenye mkondo wa amali. Shule...
  8. N

    Rais Magufuli hakuvunja Katiba kuwateua Prof. Kabudi na Mpango kuwa Mawaziri kabla ya kumuapisha Waziri Mkuu. Zitto ndiye alifaulu kupotosha umma

    Zitto anajua kila kitu, alipotosha kisiasa. Hivyo hatajibu chochote kuhusu uzi huu.
  9. N

    RAIA MWEMA: Tulielewe neno “Sovereignty” tunapoujadili Muungano

    Pascal Mayalla , Hizi ndizo topic zako
  10. N

    RAIA MWEMA: Tulielewe neno “Sovereignty” tunapoujadili Muungano

    Mada nzuri inatakiwa ifundishwe hata kwa shule za msingi.
  11. N

    Papa Francis alikataa Rais wa Philipines kubusu pete yake, achilia mbali unaowaona hawa anaowakatalia wiki hii

    Vatican ilishafafanua kwamba ni tabia yake ingawa haina maelezo ni kwa nini hapendi busu lile.
  12. N

    Papa Francis alikataa Rais wa Philipines kubusu pete yake, achilia mbali unaowaona hawa anaowakatalia wiki hii

    Sijaumia bali nimewaona washamba. Pia mahakama inawazunguma hap mapadri, kanisa halizungumzi kuhusu TIGO.
Back
Top Bottom