Wewe unaendesha gari yako kwenye njia ya treni? au lini ulipishana barabarani na treni? This is the home of great thinkers halafu unawaza kitu kama hicho? bora usingecomment!!
Inawezekana kukawa na maelezo mazuri sana yaweza kuwa ya Kisiasa, Kiusalama na kadhalika. Kwani nijuavyo mimi hakuna kitu kinatendeka hasa katika karne hii ya sayansi na teknologia, pia kwa nchi yenye hari ya kuwa ya viwanda bila ya kuwa na SABABU ZA KIMSINGI..
Nikirudi kwenye mada husika na...
Habari wanajamvi.
Nahisi kuna mkanganyiko wa mawazo na fikra, kabla ya kujadili haya yote na kufikia maamuzi ni bora kuanzisha mada itakayohoji nini hasa maana ya hayo yote yaliyotokea.
Inawezekana kukawa na maelezo mazuri sana yaweza kuwa ya Kisiasa, Kiusalama na kadhalika. Kwani nijuavyo...
Napenda kuwa tofauti kwa mtoa uzi huu.
jaribu kufanya kinyume, badala ya kuomba apewe kwa nini asifight akaupata. siasa sio kama upepo wa mziki kuna mengi ya kufanya zaidi ya kuona watu wanaongea kwenye Ma-TV.
Next time jipange na ufikirie vya kutosha. Lete mada za kujenga na sio kupotosha kwa...
Habari!
Napenda kutoa fursa kwa yeyote ambaye ataweza kusupply mayai tray 150 kwa wiki.
Mazingatio ni kama ifuatavyo
1. Mayai yawe safi pia bila kupasuka.
2. Aweze kuyapack kwa ajili ya kuyasafirisha mkoani.
3. Uaminifu ni jambo la msingi, hivyo tungependa kuwasiliana na mzalishaji moja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.