Recent content by nikola tesla ford

  1. N

    NYUMA YA PAZIA: CHADEMA ilivyosalitiwa 2015 - Dkt. Slaa

    Upotoshaji tu! Hakuna kituko. Mwanakijiji na Dr mihogo ni mtu yuleyule.
  2. N

    Mvua za vuli: Je, Wandebele walimsamehe Mugabe

    Hakuna kona wala nini...huyu Mugabe hasitahili heshima yoyote yaushujaa...ni muuaji na mtu mwenye tamaa ya madaraka na mali kupindukia!
  3. N

    Serikali: Atakayebainika kuihujumu nchi kuhusu kushikwa kwa ndege ya ATCL atafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Mbona unaongea pumba to this extent? Are you insane? Huoni aibu?
  4. N

    Mzee Mkapa: Tumesikia matamanio mengi na programu nyingi lakini ni machache sana yaliyoweza kutekelezwa

    Kama matamanio yangekuwa farasi...hata ombaomba wangezipanda!
  5. N

    Ajali ya moto Msamvu, Morogoro: Waziri Mkuu aunda Tume ya kubaini kama mamlaka zilishindwa kutimiza wajibu

    Ukiona zile clip za watu wanachota mafuta wakiwa na madumu wala huwezi kumshambulia bibie kwa mtazamo wake! Tuache kutetea vitendo vya kihalifu kwa kuhurumia waliokufa.
  6. N

    Ajali ya moto Msamvu, Morogoro: Waziri Mkuu aunda Tume ya kubaini kama mamlaka zilishindwa kutimiza wajibu

    I sees! You are talking nonsense kabisa! Wahanga ni wahalifu. Tusiwaonee huruma wahalifu kwa kuwa wamekufa. Tuwe wakweli ili kukomesha tabia hizi mbaya za watu kupora wahanga wa ajali. HAPANA! Hatuwezi kuwa taifa la vibaka!
  7. N

    Tafadhali Serikali uzeni mahindi Kenya, sio unga

    Kwa hiyo wakulima wa nchi hii umewageuza kuwa bima yako ya chakula? Wacha vipande na wakulima nao wafaidi keki ya taifa.
  8. N

    USD Bilioni 52.8 ( TZS 121 Trilioni ) zilizozuiwa na Magufuli kuingia kwenye Uchumi wa Tanzania tangu mwaka 2015

    Umeambiwa ni za'UWEKEZAJI' Watu wanakuja na pesa zao kuwekeza kwenye hiyo miradi. Siyo misaada wala mikopo. Nchi inanufaika kwa wananchi kupata ajira na mirahaba na kodi.
  9. N

    Je, ni kweli kwenye mbuga ya Selous kuna ndege zinatua na kuondoka bila mamlaka na security ya nchi kujua?

    Nenda facebook ! Duu,huku siyo size yako kabisa. Nenda facebook au Insta ukachat na watoto wenzio wa std iv.
  10. N

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Najua kuna trafiki wa kutosha humu jamvini,kuna tatizo kubwa la waendesha baiskeli usiku. Wanendesha baiskeli ambazo hazina taa wala refrector. Jambo hili ni chanzo kikubwa cha ajali usiku. Wananchi waelimishwe kuhusu tabia hii hatarishi.
Back
Top Bottom