Kama unaona mambo ya kufikirika, tambaa.
Siyo kila uzi umwage uharo wako.
Sayansi ni njia moja kati ya njia bora kabisa ambazo zimemsaidia mwanadamu kuelewa mazingira yake na kuweza kuepukana na shida, taaab, majanga na misukosuko mbalimbali.
Unaweza uondoke na bado hujajua, but that's not too bad kwakua hauko pekeako.
Manguli wa sayansi, falsafa, dini na werevu mbalimbali waliondoka bila kujua nn kusudi la uwepo wetu hapa duniani.
Maisha ni jinsi vile unavyo yafanya au unavyo yapatia maana ww.
ikiwa ww unaamini purpose ya uwepo wako...
acha udungayembe wewe utaendaje kupiga kura na miwatu ya RAO imekaba kila kona kuhakikisha hakuna anapiga kura ?
watu hawajapiga kura kutokana na kuogopa takataka za RAO ambazo zinaweza sababisha maumivu.
ko takwimu zako bado hazina uzito kusema kwamba 42% ambayo haijapiga kura ni takataka za...
huwa napata shida sana kuwatofautisha kati ya wanaume wa Dar na mademu.
anayejua utofauti wao anisaidie tafazar, ikiwezekana atupie na picha labda nitaelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.