Recent content by nikkjems

  1. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Veta Mbeya utolewaji wa vyeti short course udereva unachelewa sana

    Aiseee kabisaa mkuu naona kona kona zote hizi lazim turefushe mkono
  2. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Veta Mbeya utolewaji wa vyeti short course udereva unachelewa sana

    VETA MBEYA Veta mbeya utolewaji wa vyeti short course udereva unachelewa sana unaweza kusubiri mbaka miezi miwili ukienda wanakwambia bado au unakuta vimetoka nusu ukiuliza vingine wanasema huku peleka namba ya Nida ukiwapa namba ya Nida wanasema usubiri tena siku 30 hii sio sawa kabisa kwa mtu...
  3. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mechatronics Engineering

    Sawa mkuu asante
  4. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mechatronics Engineering

    Asante
  5. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mechatronics Engineering

    Asante nashukuru
  6. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mechatronics Engineering

    Nataka nikasome lakn kuanzia certificate pale donbosco dodoma
  7. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mechatronics Engineering

    Nipeni uzi wanaojua kuhusu kozi ya mechatronics
  8. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Odd za kibabe

    Vp hapo wandewa Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
  9. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimemuua Chelsea nimempa man City na Real Madrid vip hapo wandewa
  10. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah sema ulijitoa 100k[emoji15]
  11. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah kweli hakuna ku give up
  12. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kanikosesha kibunda jana[emoji39]
  13. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya architecture

    Yeah vipi kwenye ajira unaweza pia kujiajiri kwa mtu aliyesoma hiyo kozi
  14. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya architecture

  15. nikkjems

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kozi ya architecture

    Wana JF naombeni mnasaidie kuhusu kozi ya architecture inahusu nini? Na ukisoma kozi hiyo unaweza kufanya kazi sehem gani?
Back
Top Bottom