Duh,wasomi njaa wetu.
Tanzania bado xana,kuwa mwanachama Wa Ccm sio ndo ukubaliane na ujinga ujinga.
Hivi mnadhani Ccm ndo Mwenye hii nchi tu!.Uzee mbaya,mungu nisaidie
Kwa vyovyote vile,iwe usiku ama mchana.Jamhuri yetu ya leo,sio ile ya miaka ya 80-95.
Anaumri gani kwa sasa,na elimu yake ameipatia katika mazingira gani.Hatutaki ujima sisi Tanzania ya leo.
Ajiulize tangu amepata huo uprofeseli ni miaka mingapi imepita.
Wazee wakae kimya,maana kwa upande wao...
Umeangalia Marudio ya mazishi ya hayati JPM,afu ndo umekuja na maswali haya!.
Subili nae labda atakaporudia kuangalia hayo mazishi nae ajilidhishe.
Ila pole sana mkuu.wenzio tunakunywa bia
Hao pia ndo maadui wa taifa kwenye huu ulimwengu wa kidijitali .wasomi wajinga ambao hawajawahi tokea Tanzania.
Mama anawachabo,afu wewe unakurupuka kuja na utoporo wako kuwachongea.ungejua hawataki hats kutajwatajwa kwenye ulimwengu wa DIGITAL
Mwacheni achape kazi Rais.Uongozi wake hauumizi watu.Huyo msando mnazushia kashfa.Nijue tu kwani GIGY anasemaje,alienda kushtaki au ilikuwa ni mambo yao binafsi.
Nchi imetulia kwa sasa OVER
Khahahaha,wakatwe kodi kwanza halafu waharishe huo uharo wa kijani.Kwa maoni yangu nadhani bunge ndo taasisi inayoongoza katika kufirisi nchi.Ukiacha dawa na ujenzi wa miundombinu.
Daaaaah!.ongezeni zaidi maana hakika namna.so mpo wenyewe kiharamu.ila mtakuja kuzitapika one day.
Kwa hiyo tukatwe kodi ili mnufaike ninyi wajinga wakubwa.
Ila na watanzania wengi wetu ni majuha wa karne.ukikataa basis Nijue ni hatua gani ulishajaribu kufanya.CCm ni kirusi cha corona ambacho...
Daaaaah!.hii kitu ungejaribu kuliongelea vijiweni.humu unatukosea heshima ya JF.
Hukuwahi kuulizia utekwaji,mauwaji ya waandishi wa habari,ukamatwaji wa viongozi wa upinzani,na katiba kusiginwa.
Nijue tu unaelimu kiasi gani tuanzie hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.