Recent content by Niite Profesa

 1. Niite Profesa

  Msaada wa Chuo wanachofundisha Graphics design

  BAADHI YA VYUO VINAVYOFUNDISHA GRAPHICS DESIGN 1 Morogoro school of journalism, Morogoro 2 Kilimanjaro Institute of Technology and Management, Dar es Salaam 3 Dar es salaam school of journalism, Dar es Salaam 4 Bestway Institute of Training (BIT), Dar es Salaam 5 JR Institute of Information...
 2. Niite Profesa

  Ufugaji wa sungura ni dili ukiachana na longolongo za wababaishaji

  JF Sihami Maana kila siku najifunza kitu kipya🙏🙏🙏
 3. Niite Profesa

  Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

  RITA hawako serious na kazi Yaani tokea tar 18/06/2021 hadi leo 01/07/2021 hakuna chochote ukiwauliza wanachokisema hata hata hakiingii akilini.
 4. Niite Profesa

  Je, unaweza kuendelea na masomo ya Degree baada ya kuhitimu Diploma ya shule za msingi?

  Icheki Guide book ya TCU utapata kila kitu mule Ila kwa kifupi ni lazima uwe na Ufaulu wa kuanzia GPA ya 3.0 ila kuna baadhi ya vyuo wanahitaji kuanzia GPA ya 3.5 mfano UDSM
 5. Niite Profesa

  Je, unaweza kuendelea na masomo ya Degree baada ya kuhitimu Diploma ya shule za msingi?

  Inawezekana bila shida yeyote kikubwa ni utimize tu vigezo wanavyohitaji
 6. Niite Profesa

  Hivi mnaosoma kozi kama Bsc in Physics, Bsc in Chemistry, Bsc in Mathematics huwa mnapanga kuja kuwa kina nani hasa?🤣

  "Elimu inasaidia sana kwa walioelewa wamesoma nini ila sio kukariri." Mkuu ebu agiza kwanza maji hapo na wakikudai pesa waambie PROFESA anakuja kulipa.
 7. Niite Profesa

  Msaada: Ni vigezo vipi vinahitajika ili kuwa Mkufunzi wa Chuo?

  Watakuja kukupa mwongozo kuwa na subira tu naiamini sana JF
 8. Niite Profesa

  Yale mafunzo ya VETA yaliyotangazwa na serikali yatakuwa ya muda gani?

  😂😂 Serikali yangu naijua sana huwa inabadili gia wakati wowote
Top Bottom