Recent content by Nightangale

  1. N

    JamiiForums Tanzania Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

    nikwambie MaryGlory, uzoefu wa maisha umenifundisha kuwa kisasi kinaumiza zaidi, kuliko hata maumivu ya kukosewa.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

    Achana na roho ya kisasi, utajuta baadae!Alafu mbona unajifanya una uchaji wa Mungu na kumbe ....! Haijalishi mbaya wako alikukosea nini lakini hastahili kutishiwa kutolewa uhai wake. Huoni hata hatari ya kuja kuanika huu upuuzi wako hapa, kesho akauawa si utaambiwa ni wewe?Tuliza hasira...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Najaribiwa sanaaaaaaaaaa!

    kimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kiujazacho moyo wake.... Huyu dada nakumbuka alikuwa na bifu na drphone hapa mara ya mwisho kuwasoma. Sasa naona karibu watauana.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu...

    Nawachukia sana wanafiki, kutoka moyoni! siwezi kuelezea chuki yangu kwa binadamu wa namna hii lakini NAWACHUKIA.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu...

    binadamu wengine ni wabaya/hatari heri wanyama pori. wanajifunika ngozi ya kondoo na ndani ni mbwa wa mwituni kabisa. rafiki mnafiki hana tofauti na muuaji. Do not trust people until your are satisfied enough with the reason they give you to trust them. mijitu mingine ni BS! Heri kufanya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Cheuro nimekusoma na nimeelewa to any general rule there is an exception.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Na wote tuitao 'Rabi Rabi' LAZIMA tuurithi ufalme wa mbinguni.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Behind any frustrated man there is a woman

    Gaijin ni kweli kabisa, wengine ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu ananichanganya

    Jaba, samahani kama nimekukwaza but I didnt mean to!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Acha uongo wako na wewe hapa, wayii!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya kuacha kutembea nje ya ndoa?

    unatishika nini? Ukila vya wenzio na vyako vyaliwa. Umekuja hapa kifua mbele kuwa wewe ni kidume cha ku cheat....acha uelezwe ya kweli sasa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Master j jana kachemka vibaya bss

    Nashindwa kuwashangaa, maana walikuwa na uwezo wa kumtema kwenye auditions tu basi.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Hapo sasa, iwe kiujumla au binafsi hakuna atakayekubali hili. Mkurya mwenyewe atakana kuwa wanatahiri wanawake, hata muhehe atabisha kula mbwa Sasa iweje mchaga akiri hii 'bad practise'
  14. N

    JamiiForums Tanzania Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    I have stated one and does that draw the conclusion anyway?! (nimesahau kabila lao hao G ila wanatoka kumoja) )
  15. N

    JamiiForums Tanzania Baba kwa binti aliyemzaa mwenyewe???

    Here I am Gaijin....
Back
Top Bottom