Master j jana kachemka vibaya bss

KAMA KUNA SIKU NIMESHUHUDIA MADUDU YA WAANDAAJI WA BSS BASI NI JANA YAANI HAWAKUWA REALISTIC KABISA WALISHINDWA HATA KUDHIBITI NDIMI ZAO. TUMEZOA KUMUOANA MAADAM SALIMA AKICHEMKA KUPITA WOTE LAKINI JANA MUUH ALIYECHEMKA ZAIDI NI MR J, KWA KWELI JANA ALIONESHA UJINGA WAKE WOTE NA UKOSEFU MKUBWA WA ADABU NA UFAHAMU. MFANO, AKIWA KAMA JAJI TUYEDHANI ANGEKUWA NA UVUMILIVU KWA AUDIENCE YEYE ALISHINDWA KUVUMILIA MAPENZI YA MASHABIKI NA KUISHIA KUANZA KUWATUKANA ETI MASHABIKI WASHAMBA KISA TU WANAMKUBALI PYEN (MSHIRIKI MZUNGU). KWA KWELI NIMEMZARAU SANA MR J, HAWEZI KUAMINI NA KUSHIMU CHAGUO LA WENGINE KISA TU HAWakubaliani ni anachopenda yeye. NASHIWISHIKA KUAMINI KUWA HATA MATOKEO YALIPANGWA NA KAMA SI NGUVU YA MASHABIKI MZUNGU WA WATU ANGETOKA KAPA YAANI KAMA UCHAKACHUAJI WA CCM NA UMEYA ARUSHA
Huenda mzungu amekataa kuwagawia salio la ushindi,kwani washiriki wengi wanachojali ni ujiko wa kufahamika,kila watakachoambiwa hukubali na hata wakiambiwa sikilza dogo katika mkwanja utakaopata sisi ndio tutauchukua na wewe tutakupa kifuta jasho na ole wako upayuke hutaenda mbali kwani sisi ndio ni Alfa na omega kwenye fani,kwa akina dogo wamatumbi watakubali na kuchekelea lakini si kwa mtasha
 
Binafsi jana nilienda kuscan my memory,nimemdelete yule kaka anayesuka nywele kama dada yangu. Cjui anaitwa joakim a.k.a mastre$s J. Anasema watz washamba wanamshangaa mzungu. Alirudia mara kbao mpaka nkazma Tv nkaenda zangu kulala. Uyu jamaa kukosa shule imekuwa vbaya,yan yule Payne si muhuni ni msomi anaetaka burudani. Ana masters degree lakin anapenda kuburudisha. Akiwakuna wabongo,uyo J anawatukana eti washamba. J&BSS upuuzi tu!
 
Ni bahati mbaya kama judges wanalewa katika shindano kama hilo la kitaifa.Nadhani kuna haja ya kuwa makini sana.Waziri Dkt.Nchimbi si alikuwepo pia?

Please, msilishushe taifa langu kiasi hiki. kwangi mumu, shindano hili halistahili kuwa la wilaya, achilia mbali mkoa
 
Binafsi jana nilienda kuscan my memory,nimemdelete yule kaka anayesuka nywele kama dada yangu. Cjui anaitwa joakim a.k.a mastre$s J. Anasema watz washamba wanamshangaa mzungu. Alirudia mara kbao mpaka nkazma Tv nkaenda zangu kulala. Uyu jamaa kukosa shule imekuwa vbaya,yan yule Payne si muhuni ni msomi anaetaka burudani. Ana masters degree lakin anapenda kuburudisha. Akiwakuna wabongo,uyo J anawatukana eti washamba. J&BSS upuuzi tu!
Ndugu, masta J ni msomi tu ni injinia kitaaluma usimuone kujitoa ufahamu pale.

na nani kasema kusoma ndo kustaarabikaQQ
 
Nfikiri huyu jamaa ni mvuta bangi na mbwia unga mkubwa!ni limbukeni wa ajabu sana!!
 
Ni kujitaftia stress tu kuwaangalia wale jamaa mi nadhani wanafkiri u-judge ni kuchagua wapendacho badala ya kuamua kwa haki' kila siku wanatangaza washindi wao pale wakat wananchi hawawakubali hata
 
BSS yenu inayowaita washamba!!
Hiyo komenti imetolewa na salama na joachim over n over n over wakati wa mchakato, nadhani ndo kilichowatia watu wengi hasira na kuamua kumsapoti mzungu.

Anyway sikufurahishwa na huo utovu wa heshima but again hata akisema hivo na mimi si mshamba ...ataajibeba yeye na 'ushamba' wake wa ku behave kama mtoto.
Sijui anaishi karne gani kwanza siku hizi wabongo hawashobokei wazungu.
 
Basi elimu yake haijamsaidia. Sifa unayompa ni tofauti na tunavyomuona hakuna kabisa uhusiano. Binafsi alinibore sana hususan chuki dhidi ya mzungu. Ilitakiwa wam drop huyo mzungu mapema
 
mams, i hope u r nt reffering to my post kuwa nimempa sifa Joakim!! Mimi nimemjibu aliyesema J hana shule.

Apart frm that sisifii alichofanya.
 
Mimi nadhani ushamba wa watanzania ni kusikiliza nyimbo zilozochakachuliwa (alizoproduce) na Master J . Anajiona anajua sana Muziki wakati kuna watoto wana-produce kama hawana akili nzuri. Tatizo la wabongo wakisifiwa kidogo tuu wanaota mapembe!
 
Hiyo komenti imetolewa na salama na joachim over n over n over wakati wa mchakato, nadhani ndo kilichowatia watu wengi hasira na kuamua kumsapoti mzungu.

Anyway sikufurahishwa na huo utovu wa heshima but again hata akisema hivo na mimi si mshamba ...ataajibeba yeye na 'ushamba' wake wa ku behave kama mtoto.
Sijui anaishi karne gani kwanza siku hizi wabongo hawashobokei wazungu.

Sasa kama walikua hawataki watu wamsapoti huyo mzungu walimwingiza kwenye mashindano ya nini??Hawanazo kweli...na kama wanazo wameshindwa kuzitumia!!!
 
Sasa kama walikua hawataki watu wamsapoti huyo mzungu walimwingiza kwenye mashindano ya nini??Hawanazo kweli...na kama wanazo wameshindwa kuzitumia!!!

Nashindwa kuwashangaa, maana walikuwa na uwezo wa kumtema kwenye auditions tu basi.
 
...Huyu Master J si ndio kwenye fainali ya BSS ya mwaka ulee alimuambia yule binti kuwa "Unakuja na mpasuo hapa unadhani nani anakupenda!" na ikawa wazi kabisa kuwa Binti wa watu alisinyaa kwa matamshi yale? May his mdomo uende Upande. tatizo ni kuwa kila aina ya jaji, awe wa urembo awe wa muziki, anaaka kujifanya ni Bonge la Ian wa Tusker Project fame! Upuuzi Mtupu.
 
LET ME ASK? WHAT IS THE MEANING OF BONGO STAR SEARCH? huyo mzungu anayo passport ya tanzania au ni mtanzania aliyeishi nchini kwa miaka mingapi sasa?
Mbona ulaya au amerca waafrika siye haturuhusiwi kushiriki mashindano kama hayo? Hivi we unaweza kumlinganisha amercan anayeimba pop idol na bongo star search kweli??
Ulaya au Amerca ukitaka kushiriki mashindano kama hayo lazima ukalete document kutoka serikali za mitaa zinazodhibitisha kua we ni raia wa kuzaliwa au kuhamia kihalali na siyo mpita njia.

BASI msiyaite mashindano bongo star search ila yaiteni International star search.
ALIYE MRUHUSU MZUNGU KUINGIA KWENYE HAYO MASHINDANO NDO MWENYE MAKOSA.
 
Ni bahati mbaya kama judges wanalewa katika shindano kama hilo la kitaifa.Nadhani kuna haja ya kuwa makini sana.Waziri Dkt.Nchimbi si alikuwepo pia?

?ya kitaifa.............mkuu this is a personal jitihada na ubunifu wa mtu kwa nia na faida zake anazojua yeye mwenyewe. kuweza kuoneshwa kwenyw luninga does not make it qualify kuna ni shindano au ishu ya kitaifa
 
Master J alika mkweli zaidi, Wabongo walikua wanamkubali mzungu sababu ya uzungu , kubabaika kasumba ambayo ipo siku zote . Mzungu hakua mkali alikua ana leta Burudani na zile moves zake za kukakamaa kushindwa kucheza kama vile tunavyo oana wazuungu zasivyo weza kucheza pamoja na kuimba kiswahili, vocally hakua mkali kabisa na Master J hilo aliliona na akaona kuna watu watakosa ushindi sababu ya ushamba wa waTanzania kwa kumshabikai mzungu. huyu Mzungu hakua tofauti na yule Sanjaya Malakar wa kwenye American idol ,ambaye alikua a horrible singer lakini alisoge mbele sababu ya vituko vyake na ile style yake ya nywele.

Majaji kubonda au kuongea pumba , hiyo ni burudani kwani mwisho wa siku ni watu wana vote,tunaona kwenye American Idol jinsi Simon alivyo kua so cruel kwa washiriki ,nikitu ambacho kiko siku zote kwenye haya mashindani na ni ina saidia kuongeza ratings.

Ila washamba zaidi ni sisi wa Tanzania tunao sikiliza nyimbo za maproducer wetu wa Kitanzania nakuzikubali na kujiita eti wajanja , nyimbo ambazo zinaibiwa Ulaya nakuzifanya zao kwa kudanganya na sisi tuna shabikia eti fulani producer mkali . kama alivyo sema Mdau hapo juu.

Kurudia nyimbo sio kitu kibaya ila irudie kihalali sio kutudanganya na sisi kukubali eti ni ya fulani wakati ni ya wizi ni ushamba zaidi huu.
 
Back
Top Bottom