Uko vizuri mkuu. Aina hii ya muungano haipo mahali popote duniani. Namkumbuka Mbunge Charles Kashemeza Kabuye (RIP) alipendekeza Zanzibar iwe mkoa wa 21(wakati Ile) na Dr. Salmon Amour awe mkuu wa mkoa. Namkumbuka wabunge wa Zanzibar walitaka kummeza!! Ipo siku akili ikitukaa sawa tutaukubali...
Wewe una chuki zako tu. Rais Samia anaenda vizuri tu. Ikumbukwe hakuwa amejiandaa lakini amejitahidi kwa kiwango kikubwa. Kama huwa anapitia threads za JF namshauri awapuuze wapuuzi Kama nyie. Go Samia go! Watanzania tunaojitambua tuko pamoja na wewe!!
Naomba itoshe. Tumpumzishe Mzee Kikwete! Ninavyomjua, kwa umri alionao keshakutana na sekeseke za kutosha! Binafsi huwa namkubari JK! Namshauri aendelee kuwanyamazia. Huu ni upepo unapita na Manisha yanaendelea. Pole sana Mzee Kikwete!!
Nafuatilia ibada ya kumuaga THE LATE LOWASA. Wamepewa nafasi ya kutoa salami watu wengi, Mbowe yupo lakini sioni akipewa nafasi ya kutoa salami hata kutambulishwa uwepo wake, Kuna nini??
Wajinga Kama Hawa watakuchosha mkuu! Wanadhani kujikusanyia vimaneno vya kiingereza visivyo na grammatical agreement ni ujanja. Hawajui kwamba wanawatia kuchefuchefu wanaoimudu fluently lugha ya wakoloni wetu!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.