Kwanini madaktari wenye level moja wanalipwa tofauti? Mfano daktari aliyeko Muhimbili, benjamini mkapa, hospitali za Rufaa za mikoa na hospitali za wilaya mishahara yao ni tofauti ili hali elimu zao ni sawa na wamesoma chuo kimoja?
Hii hali huwavunja moyo madaktari hawa wanaofanya kazi wilayani...
Acha ujinga na kutaka kujionyesha kwa mkeo. Ukitaka kumnunulia mama yako mzazi nguo au kitu Fanya mwenyewe kwa wakati mwingine. Kamnunulie nguo kisha mpelekee bila ya mkeo kujua. Si lazima mkeo ajue. Kama hujui umnunulie nini mchukie mdogo wako/dada yako wa kike mwende naye akusaidie kuchagua...
Utakuwa ulimuomba hela. Kuna wanawake mmefanya yenu, baada ya hapo umamoa hela nzuri tu baada ya tendo. Wiki haiishi anakwambia naomba hela ya matumizi, mara ninunulie kitu flani. Sasa mwanaume anaona huu ni usumbufu. Tena utakuta huyo mwanamke ana mtu wake, lakini ww ndio unabebeshwa matatizo yake.
Tatizo mwanamke unaingia kwenye mahusiano ukiamini yatakutoa kimaisha. Jitahidi ufanye kazi zako na kupata hela ya kukusaidia kimaisha. Ukichukukia mahusiano kama sehemu ya kufaidika kimaisha siku zote hautaona unapata mtu sahihi
Pia kama ni mme wa mtu hutakiwi kuwa naye kimahusiano. Yeye ana...
Hello habari zenu. NAMI nichukue fursa hii kutafuta mpenzi. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,mwajiriwa serikalini, nimeoa mke yupo mkoani.
Nahitaji mpenzi Ambaye:
1. Ana umri kuanzia 22 mpaka 33
2. Awe ana kazi inayomuingizia kipato/asiwe tegemezi.
3. Awe tayari kupima afya/HIV/Pregnancy test...
Pamoja na Serikali kutoa TSH bilioni 3 kwa ajili ya kuwalipa watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 na kuahidiwa mwezi wa Tisa mwaka huu kuwa ndani ya wiki mbili watapata pesa zao Bado hakuna mtumishi yeyote aliyepata fedha hizo au kuwekewa kwenye akaunti yake kama NAIBU WAZIRI MOLLEL...
Watumishi waliopambana dhidi ya UVIKO 19 waliahidiww kulipwa stahiki zako na Naibu Waziri baada ya wiki mbili zitakuwa zimeingia kwenye account zao.
Cha kushangaza ni karibu mwezi Sasa unakatika hakuna chochote. Vipi hapo mnalizungumziaje HILO JAMBO?
Mnataka watumishi hao wawaeleweje?
Nami ni muhanga wa hili la kutopandishwa madaraja kwa miaka saba sasa. Ni vizuri watumishi tukapewa haki yetu. Viingizi wengi wanazungumzia utendaji bora bila kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi
Vifaa vya electronics na vifaa vya umeme jitahidi ununue katika maduka ya wahindi. Hata kama ni bei kubwa.
Wao huwa hawana longolongo.
Wabongo wenzetu wengi si waaminifu
Nahitaji mpenzi wa kusogeza naye siku.
Umri kuanzia 26 hadi 35
Asiwe na commitment nyingine ya mahusiano. Au kama anayo basi iwe mbali na yeye
Mie niko Dar. Na yeye awe Dar
Awe mrefu/wastani, mrembo
Awe ana kazi yake inayo muingizia kipato, asiwe tegemezi
Mie ni mwajiriwa.
Nahitaji mpenzi/Friend...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.