Recent content by Nicsta

  1. N

    Nani anamiliki Toyota Filda humu?

    Mwenye kuwahi itumia Toyota fielder namuomba inbox plsss cc 1500. Ubarikiwe
  2. N

    Force account ni mfumo wa upigaji, nafananisha na upigaji wa mabilioni ya JK

    Umeandika upuuzi ,,hujui Nini unachoongea,,typo field Huku ni mfumo bora saana
  3. N

    PREMIO ENGINE 1zz CC 1750

    Ndio nn UmEjibu??nazungumzia Engine ya 1zz na sio gari,,duu!!
  4. N

    PREMIO ENGINE 1zz CC 1750

    Naomba kujua namna inavotumia Mafuta engine hiyo ktk Premio New model ya kuanzia 2002-2005,, kwa DHATI uzuri wa engine (faida na hasara na mazingira ya kwetu,, Barikiwa ndugu yangu.
  5. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Rav4 kili time cc 1750 1zz Engine

    Wakuu Kwa DHATI naomba mwenye kuijua vema hii gari, Mafuta inatumiaje,(Lt per km), Spea zake, AC (how good it is), kwa kifupi faida na hasara zake kwa hii gari. Naomba saana, Mwishowe kwa Mil 10 naweza pata namba D?
  6. N

    Toyota Corolla fielder

    Wenye mchango zaidi
  7. N

    Toyota Corolla fielder

    Asante ndugu zangu
  8. N

    Toyota Corolla fielder

    Naomba mwenye kuijua vema hii gari Anisaidie tafadhali nataka kuinunua mwezi ujao mikononi kwa mtu Namba DKL
  9. N

    Rais Samia haropoki hana temper ni vitendo tu

    Wamesambaratisha mkutano??
Back
Top Bottom