SIASA ZA MAIGIZO HAZIFUTI DAMU, HESHIMA HAINUNULIWI KWA VIKAO VYA IKULU
Nianze na nukuu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere "Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu, na wewe ukijua ni la kipumbavu ukamkubalia, anakudharau."
Kauli hii ya Mwalimu Nyerere siyo ya kutafakari kwa...
HIFADHI YA BARABARA YA MOROGORO INAANGAMIZWA MBELE YA MACHO YETU
Je, serikali itaendelea kunyamaza hadi tutakapolazimika kulipa fidia tena?
Nianze kwa kurudia RAI yangu kuhusu upanuzi wa miundombinu ya barabara. Kwa mtazamo wangu, haikuwa sahihi kupanua Barabara ya Nyerere kwa kubaki na njia...
DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE
Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda tumeelekeza nguvu yetu katika suluhisho la muda mfupi sana badala ya muda mrefu. Kinachonisikitisha ni...
RIPOTI YA JAJI OTHMAN CHANDE NA DAMU YA TAIFA
JE, UKWELI UNAFICHWA?
Ninaona kuna juhudi za kuuficha ukweli, jambo linaloibua mashaka kwamba huenda lengo ni kulinda maslahi ya watu wachache pamoja na kuimarisha taswira ya uhalali wa serikali iliyoshika madaraka katika mazingira yenye utata...
MAGEUZI YA MUONEKANO WA VIWANJA VYA UHURU NA BENJAMIN MKAPA KUELEKEA CAF 2027
Imeandaliwa na, Nicolas Jovin Clinton Gabone
Serikali ya Tanzania na Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) wameshiriki kikamilifu katika ukarabati wa viwanja vikuu vya Uhuru na Benjamin Mkapa, wakiweka mkazo mkubwa...
KUSITISHWA KWA SAFARI ZA TRENI YA SGR DAR ES SALAAM–DODOMA
Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone
Hivi karibuni, Shirika la Reli Tanzania TRC limethibitisha rasmi kusitishwa kwa muda usiyojulikana kwa safari za treni ya SGR kati ya Morogoro na Dodoma, hatua inayosababisha athari za moja kwa moja...
HOTUBA KWA TAIFA
KUHUSU MUSTAKABALI WA TANZANIA NA UCHAGUZI WA BUSARA YA KIHISTORIA
Hotuba kwa Taifa, vyombo vya Habari na wananchi ndani na nje ya Nchi.
Ndugu wananchi,
Watanzania wenzangu,
Na wote mnaolipenda taifa letu,
Leo nasimama mbele yenu kwa heshima kuu, kwa uzito wa moyo na kwa...
Kuvunja Muungano wetu, ni kitendo cha hovyo sana, tunatakiwa kulinda umoja wetu katika Muungano. Moja ya silaha kubwa hapa Afrika imekuwa fupa gumu ni kugawanyika tangu Uhuru na baada.
Nguvu ipo kwenye umoja, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ishara ya umoja wa Afrika, changamoto ni...
CHAMA CHA MAPINDUZI KIJISAHIHISHE
Comrades, tunakabiliwa na sura mpya na yenye mvutano mkubwa katika siasa za Tanzania. Muda mrefu migogoro ya kisiasa ilikuwa kati ya CCM na vyama vya upinzani. Lakini kwa sasa, hali imebadilika, mvutano mkubwa ni kati ya CCM na wananchi wenyewe. Jambo hili...
TRANSITIONAL GOVERNANCE IN TANZANIA, FOLLOWING THE 2025 ELECTIONS
WRITTEN BY Nicolas Jovin Clinton Gabone
I do not claim the Authority to act, rather, these are my Personal views as a Tanzanian who is deeply dissatisfied with the arrogance, indifference and disregard shown by the Government...
Maoni ya mpango wa maendeleo wa miaka 15-25 wa kuifanya Dar es salaam kitovu cha biashara za kimataifa
Nicolas Jovin Clinton Gabone
Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)- NCCR-Mageuzi
USICHOKE ISOME YOTE
Dar Es Salaam, mji mkuu wa kiuchumi wa Tanzania na kitovu cha...
RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA TANZANIA YA MSHIKAMANO
Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone.
Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)-NCCR-Mageuzi
Dar Es Salaam
4 May 2025.
Rais Samia Suluhu Hassan ni moja ya wanawake wachache wenye uwezo na nguvu ambao wamefanikiwa kuongoza...
Mkoa wa Pwani ugawanywe
Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na Mkuranga ziunde jiji la Dar Es Salaam.
Rufiji, Kilwa, Mafia na Kibiti ziunde Mkoa wa Pwani/Rufiji/Kilwa.
Mikoa miwili ya Tanzania bara yaani Morogoro na Tabora iwe mikoa ya Viwanda vikubwa/vizito zaidi na technologia ya majeshi yetu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.