Recent content by Nicolao

  1. N

    David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    Tumbili kawafuata matumbili wenzake
  2. N

    Mbowe sio yule tuliyemzoea

    Mmmmmhhhh huo uongo kama ni Mbowe ndo anawapoteza serikali inashindwaje kumkamata.
  3. N

    Wakristo wenzangu, kwanini tusiombe na sisi tuoe wake wanne?

    Hapa wakiruhusu MTU ahalalishe michepuko yake ataiacha aliyo nayo ataenda kutafuta wengine wapya [emoji15]
  4. N

    Prof Lipumba: Nimestaajabishwa na uteuzi wa Profesa Luoga

    Wanasheria ndo walikubali mikataba ya kifisadi na sheria mbovu za madini tukuru kabisa
  5. N

    Upinzani wa aina hii hauna faida yoyote

    Mi naona upinzani uwepo na una faida kubwa hasa kwa maslahi ya taifa ,isingekuwa kelele za upinzani kukemea wizi unaofanywa na viongozi wa madarakani cjui nchi hiisaiz ibgekuwaje na wananchi tusingejua chichote. Anza na EPA,net group solution, kiwira, Richmond, escrow, nyumba za serikali...
  6. N

    Nimekuta uchafu na usaliti kwenye simu yake

    Ujana tu huo name Maisha ya kishuleshule wote wanapitia isipokuwa wewe umemembama tu ndo umejua Kama unaweza potezea tu mpe time
Back
Top Bottom