Recent content by nickvalerion2810

  1. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nimebandika sticker nyeusi ktk bonnet...nikaenda TRA kujaribu kubadili kwenye kadi from Green kuwa multi color nikaambiwa kuwa sticker ni temporary hawawezi badili kwenye kadi kwa kitu kinachotoka....nikaenda traffic wakaniambia wao wanajua sticker ni temporary so hawakamati siku hizi kwa ishu...
  2. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Tatizo langu ni tundu moja la ku sprinkle maji kwenye kioo cha mbele hairushi maji...inarusha moja tu
  3. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Naomba msaada wenu...Dashboard dvd radio ya gari inatoa sauti ila screen ni nyeupe tu
  4. nickvalerion2810

    Utaratibu wa kubadili kadi ya gari TRA

    Ningependa kujua utaratibu wa kufanya mabadiliko ya kadi ya gari TRA mfano baada ya kubadilisha rangi ya gari na cost zake
  5. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hivi bei ya registration TRA ktk card ya gari imeshuka maana kuna kadi nimeona bei ni sh 50,000 lkn ya kwangu bei yake ni 150,000?????
  6. nickvalerion2810

    DVR fullset ya camera 8 ni bei gani??

    Napenda kujua DVR ya CCTV fullset ni bei gani na ninaweza pata wapi?
  7. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hivi ukizifanyia tinted headlights zinakuwa zinatoa mwanga vizuri??
  8. nickvalerion2810

    Naomba msaada jinsi ya Kununua luku kwa M Pesa

    Najaribu kununua umeme kwa MPESA na katika menu inadai Enter Account number...Nimejaribu kuingiza meter number na hata account number lkn inaniletea message baadaye kuwa the bill number doesnt match the third party authentification. Naomba msaada wenu wadau
  9. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Rav 4 yangu ina rangi ya kijani kama hiyo jeep hapo na imekuwa registered kwa rangi ya kijani....sasa ninataka kubandika sticker nyeusi kwenye bonnet na kwenye roof ....Je itanibidi niende tena TRA kufanya changes au rangi ya sticker haitambuliki
  10. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Shukrani sana bosi...nitatafuta rim sport size 17 then
  11. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Rav 4 J yangu tairi saizi ni 16....nataka kununua tairi jipya lenye rim nzuri lkn najiuliza kama naweza weka saizi 17 maana naona kama 16 ni ndogo na inaacha sehemu kubwa hadi shock up zinaonekana....Je inawezekana kuweka gari yenye tairi 17?
  12. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari yangu ya rav 4......jana nilikuwa naiona gari nzito nilipokuwa nakanyaga mafuta leo nimefungua kukagua Engine oil nimekuta ni chafu...nataka kujua bei ya Kubadilisha Engine oil estimation ili nikai drop service nikiwa najua kabisa bei.....Na pia nataka kujua ni kwa dharura kiasi gani...
  13. nickvalerion2810

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hivi ni nn kinachoweza kusababisha brake light moja ikaacha kuwaka especially kama gari haijatembea sana....na je reflector ni nn maana nilikamatwa na traffic juzi coz brake light yangu moja ya upande wa kushoto ilikuwa haiwaki akaniuliza pia kama nina reflector
  14. nickvalerion2810

    KKKT lahaha kumsafisha Askofu Malasusa

    Hata maandiko yanasema kuna watakaowanenea uongo kwa ajili yangu....pia kunyamaza haimaanishi wewe umekosa...inaweza ikawa na hekima kuruhusu ukweli ujiibue wenyewe....sitaki kuhukumu bila kuwa na uhakika...maana hakuna kitu kibaya kama kumhukumu mtu bila kujua...Hata Yesu alipokuwa mbele ya...
  15. nickvalerion2810

    Rais Magufuli: Ningejua kama Urais ndio hivi, nisingegombea

    Ni mzigo kwasababu Ana power kubwa huku taasisi zinazotakiwa zimsaidie zina meno madogo....akitaka kutua huo mzigo asimamie Katiba ya warioba ipite kisha azipe meno taasisi kama Utumishi wa umma, Takukuru, CAG nk ziwe na uwezo wa kuwajibisha mafisi...yaani hapo nchi itaweza kwenda na yeye...
Back
Top Bottom