Hivi makolola ulikuwa hufahamu? hawa viongozi wa cdm wao wanataka kukiwa na serikali 3 wao wapate nafasi kwenye serikali moja, yaani kwa uwazi kabisa ni kwamba viongozi wote wa cdm wana uchu wa madaraka hilo lipo wazi kabisa!!
mahakama ya kadhi no katiba ya Tz, mkiitaka waiteni wale wafadhili wenu wa kiarabu wanaowajengea misikiti wawajengee hizo mahakama na kuwahudumia hao wafanyakazi wake
hiyo mahakama kwani mnashindwa kujenga na kulipa wafanyakazi wake mpaka ihudumiwe na serikali!? mbona misikiti haijengwi na serikali? msitake kuipoteza amani ya nchi kwa sababu ya tamaa ya watu wachache!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.