Recent content by nickrill250

  1. nickrill250

    DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    huyu jamaa namuelewa sana lakini...king'ang'anizi, atasadia kwnye hili hata kama hatolimaliza
  2. nickrill250

    nauliza jinsi ya ku update software azam tv

    kwa maelekezo waliotoa.. ipo update mpya ambayo haiji automatic ila unaidownload mwnyw kwa kuanza na kupress menu the 0,1,2 inakuletea menu ya software utaenda mpk kwny OTA. sasa zile details za ndani ndo kua ambazo nilimiss kurecord ila una update kwa style hyo.
  3. nickrill250

    nauliza jinsi ya ku update software azam tv

    habari wadau, naulizia jinsi ya ku update software ya decoder ya azam.. asubuhi ya leo nliona wamepitisha hilo tangazo kwny azam 2 ila kuna details zikanipita. so kwa yoyote mwenye ufahamu na hilo atujuze.
  4. nickrill250

    TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    ile ilifanyika bila kutumia akili Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
  5. nickrill250

    Mwenye Uelewa Kuhusu Bundle Pricing za Halotel

    mda mwingne tusiwe tu tunaangalia ma speed... mtandao ukiwa na speed ila bundle mbovu bas hauna maana
  6. nickrill250

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Hapo kwa raia kufikishwa magakamani kwa masaa yasiozid 24 ndo ngumu...na kumuuliza askari jina na namba yake!! UtacheZea virungu hatari
Back
Top Bottom