Recent content by Nick girland

  1. Nick girland

    Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

    Hivi unajua kwamba kuna uwezekano wa wachezaji was yanga kama wanne wa kukutwa na covid 19?.
  2. Nick girland

    Yanga wamechanganyikiwa, oneni hili tangazo

    Hahahah!! Kocha kaapa kuwapiga si chini ya goli nne.
  3. Nick girland

    Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

    Wao wamesema hawatashitaki, ila wameahidi mkienda kwao mtawaelewa.
  4. Nick girland

    Uongozi wa Yanga wampa Kocha mechi mbili

    Wamemchoka tu mzee wa watu..
  5. Nick girland

    Kwa zile pasi nilizoziona Dar, kule kijijini kwao River Plate tunaenda kupata msiba mzito

    Wewe wadanganye tu. Wale jamaa ungewasikia walichosema nafikiri ungewashauri yanga hata wasiende tu.
  6. Nick girland

    Mama J, shabiki wa Yanga

    0627192648
  7. Nick girland

    Wanasimba tuanze safari pasina kutegemea hamasa ya msemaji, hata Mwijaku hatufai

    Moira wa kisasa hauitaji hayo maujinga.
  8. Nick girland

    Wanasimba tuanze safari pasina kutegemea hamasa ya msemaji, hata Mwijaku hatufai

    Duuuuh!! Moira wa kisasa hauitaji huo ujinga..
  9. Nick girland

    Yanga yasitisha pre-season yao huko Morocco kurejea nchini kwa mafungu

    Duuuh!! Kwahiyo siku ya mwananchi ni muhimu sana kuliko maandalizi ya kiufundi kuelekea mechi za kimataifa?.
  10. Nick girland

    Naiona Yanga yangu ikibomoka vipande vipande baada ya mechi na Rivers Utd

    Unasema Mpira una matokeo matatu hapohapo unasema yanga hii itapita mpaka makundi kwa kishindo.
  11. Nick girland

    Kwanini pesa za mauzo ya wachezaji wa simba zinaingia kwenye account ya mtu binafsi?

    Na kwanini pesa za manunuzi ya wachezaji zinatoka kwenye account ya mtu binafsi.
  12. Nick girland

    Cosmas Cheka hajui ngumi , kwanini analazimisha kuwa bondia ?

    Mbona Leo kacheza vizuri sana..
  13. Nick girland

    Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Msaada jamani anayejua hayo machaka maana hali mbaya..
  14. Nick girland

    Waliowakandia wachezaji wa AS Vita baada ya kichapo leo wanawasifia

    Hii nchi ngumu sana. Wakati wengine wako busy kucheza mpira wengine wako busy kwenye propaganda..
Back
Top Bottom