Recent content by NicholausII

  1. N

    JamiiForums Tanzania TCU VP?

    TCU wanapokea maombi baada ya matokeo kutoka Sasa unataka muanze kutuma kabla hamjajua majibu yenu?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni wapi alipo Gwajima?

    Post za watu matusi ya nn mkuu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni wapi alipo Gwajima?

    Tangu kusikika kwa ujumbe wa Sauti unaodhaniwa kuwa ni sauti ya kiongozi Wa kanisa la ufufuo na uzima askofu Gwajima kuna sintofahamu imetanda. Polisi wanamsaka askofu Huyo atoe Maelezo kuhusu sauti hiyo inayodaiwa kuwa ya uchochezi bila mafanikio! Kanisani kwake hayupo na nyumbani kwake...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Swali: Post za form five zitatoka lini?

    Mwezi Wa sita mwishoni kuweni wavumilivu
Back
Top Bottom