Da!so sad,kijana mdogo kabisa wa juzi akiwa ni miongoni mwa wahitimu wa mafunzo ya JKT Bulombola Kigoma,sizan kma ana hata miaka 3 kazini,mwananchi mwenzangu wa hapa Muhambwe Kibondo kigma,..R.I.P
umemjibu vema kuna watu wanafikiri hawahusiki kwenye baadhi ya mambo,kwamba ni wajibu wa wengine kuanzisha jambo na kulipgania hata kama linawahusu na wao
Shughuri mbona zinaendelea mkuu,ama wewe haupo bongo?huoni BAWACHA na BAVICHA kila siku wanakamatwa,hii ujumbe wake ni mmoja,wasingekuwa wanakamatwa kama wangekuwa wamelala na wake /wamezao,wanapga kazi mkuu japo kuna mkono wa CCM kupitia dola
Ulitaka waendeleze kipi ambacho hawakifanyi?mbona mengi tu yanaendelea kwa sasa ndani ya CDM?pengo la mwenyekiti lipo ila majukumu na ofisi yanaendelea kama kawaida mkuu
Harakati za kisiasa na za kudai mabadiliko uyatakayo huwezekana tu pindi mtu akiwa hai,na si vinginevyo,so ni muhimu kupambana na adui kwa akili zaidi ya nguvu
Je Ugaidi anaotuhumiwa nao mh Mbowe ni ugaidi wa serikali?
Najaribu kutafakari kimyakimya kwa maandishi kuhusu mashataka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe.
Nimejaribu kupitia rekodi mbalimbali za Mbowe tokea akiwa mwenyekiti wa vijana (BAVICHA) taifa, mpaka anakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.