Recent content by NICHOLAUS BENDIRIBA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Bombastic Bandwagon

    Hivi waungwana kunatofauti gani kati ya baby na mtoto maana mtu akiitwa mtoto anakasirika ila ikiitwa baby meno yote 32 huwa nje
  2. N

    JamiiForums Tanzania Prove your ability here

    pia naomba mnisaidie kwa kiingereza sentensi hii kuwa . baba mimi ni mtoto wa ngapi?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Prove your ability here

    Si anaitwa synonymy
  4. N

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania?

    Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz inatupeleka wapi kwenye dunia hiii ya technologia
  5. N

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania

Back
Top Bottom