Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NICHOLAUS BENDIRIBA, Oct 16, 2012.

 1. N

  NICHOLAUS BENDIRIBA Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz inatupeleka wapi kwenye dunia hiii ya technologia
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kajifunze kuandika kiswahili fasaha kwanza,., halafu rudi tena
   
Loading...