Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya mtazania ipo kwa ajiri ya kukomboa mtanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NICHOLAUS BENDIRIBA, Oct 16, 2012.

 1. N

  NICHOLAUS BENDIRIBA Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebu jiulize elimu ni ufunguo wa maisha ila kazi ya ufunguo una funga na kufungua na pia elimu ikiwa mbaya inazalisha vichaa inchini hebu jiulize mimi na wewe kweli elimu inayo tolewa tz inatupeleka wapi kwenye dunia hiii ya technologia
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,326
  Likes Received: 13,029
  Trophy Points: 280
  Inatusaidia kuwaangalia wengine wakifaulu maishani sisi tukibaki na vyeti bila kazi wala kianzio cha kujiajiri

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Inaandaa mafisadi nyangumi
   
Loading...