Recent content by nhevly

  1. N

    JamiiForums Tanzania Anayejua mbegu zinapopatikana au miche ya Strawberry

    Anaejua mbegu zinapopatkana au miche Pia hata alie lima kama anauza matunda Nataka kujumua..kwa Mbeya wap zinapatikana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mjasiliamali wa Mende, azidiwa na wateja

    .naomba msaada wenu..wapi pa kuanzia gharama zake na jinsi ya kufuga
  3. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Kama upo karbu na shule hutaruhusiwa kufungua mpaka sa8 yan mda wa masomo ukiisha. Haina process zozote wewe ni sawa na machinga tu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tujadili biashara ya chakula Migahawa

    Ni pm
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa bites

    Wenye hotel..restaurant Wanahitaji mpishi wa bites.. Nipo apa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Houseboy anahitika, kazi inaanza June 2018

    Nipo apa Namba yangu 0672493550
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 20. Elimu yangu ni kidato cha NNE Najua kuongea kingreza na kiswahili fasaha. Natafuta kazi yoyote ile ..ufugaji wa kuku,kilimo cha bustani.kuuza duka,biashara za minada .kuuza cups na n.k Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Nipo mbeya ndipo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdhamini

    Nina shamba ekar 3 nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji. Lipo karibu na mto mkubwa.. Nataka kulima mboga mboga nafuta mdhamini atakae nisaidia vifaa vya kilimo.. Npo mbeya mjini Msaada jamani
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Anae taka chumba mbeya mjini kipo
Back
Top Bottom